Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.
Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?
Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!
Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?
Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?
nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...