Jaribu coz hta mm ntajaribu japo ni cbg en nna CELakini nikijaribu bahati yng sio mbaya? Ukilinganisha na ufaulu wa mwaka huu especially zanzibar watu 101 schule yetu tunaenda 44 pia ukilinganisha na admission ya wanafunzi wanaopokea naweza kujaribu? Na course ipi nyengine ukiacha naweza kupata ukiacha education
Nenda Dit mkuu ila ukazeNaomba ushauri nili apply vyuo vitatu must,DIT and Arusha tech coz civil engineering.. Matokeo yangu nina D phy,D chemist,B math,C English,C geog,A kiswahil,C history,F bios, nimemaliza uganda ila baada ya kubadilisha ktk mfumo Wa necta nimepata hayo matokeo
Nimesoma HGE nimepata
Dv 1.8
History C
Geography C
Economics B
G/s E
Bam E
Nataka nikasome ardhi faculty kama mbili hiv nataka ni apply sasa sijuh comb yangu inaruhusu ni B.Sc.building economics na B.Sc in building survey na ushaur kidogo kuhusu izo course asante wakubwa...
Nimesoma HGE nimepata
Dv 1.8
History C
Geography C
Economics B
G/s E
Bam E
Nataka nikasome ardhi faculty kama mbili hiv nataka ni apply sasa sijuh comb yangu inaruhusu ni B.Sc.building economics na B.Sc in building survey na ushaur kidogo kuhusu izo course asante wakubwa...
Kijara zinapatikana,pia kuna FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY,SUA kozi nzuri sana inadili za kutosha.Hapo kwenye animal science, agriculture general pamoja na agronomy vp ajira zake znapatkana?
Bado haijatoka wwndio imetoka mda tuu ichek website ya tcu.
www.tcu.go.tz
Subiri nacte ukasome diploma.kozi nyngi sananina ufauru wa DEE kwa combination ya CBG respectively naweza kwenda wap naitaj msaada wen kmawazo ili nijiongeze mapema
vp kuhusu forest ajira zake znapatkana xana?Kijara zinapatikana,pia kuna FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY,SUA kozi nzuri sana inadili za kutosha.
Nina CED mkuu. Nimesoma EGM .olevo Nina 1 .12 vipi naweza kusomea nn chuo na VP ardhi naweza kupata? Ila education no tafadhaliHabari ndugu na wana JF kwa ujumla.
Nimeona nianzishe huu uzi mahususi kabisa kwa wale wanaoomba vyuo vikuu kozi mbali mbali tuwape elimu na ujanja ili waweze ingia vyuo wavipendavyo.
Pia huu uzi utashauri ubora wa chuo husika kuhusu baadhi ya kozi kwani kuna baadhi ya vyuo vina sifa kadhaa katika fani wanazofundisha.
Unachopaswa kufanya ewe unaeomba chuo utaleta matokeo yako yote ili tuyachambue ndio tukupe ushauri, pia kwa vyuo vyenye ushindani kwa kozi fulani hawa hadi matokeo ya form four wanaangalia so usiwe na hofu relax tutakushauri na hakika utashinda mapema wala hutapoteza kitu na pia uwashauri na wenzio walio karibu wapitie huu uzi ili wajifunze zaidi.
Kumbuka ufaulu wako ndo unaamua yote unapoomba kozi angalia ufaulu wako na ushindani kama idadi ni kubwa sana ya waliiomba na wewe una matokeo hafifu badilisha haraka.
Pia ni vyema kufanya maamuzi sahihi ukitegemea eti utahama chuo ni ngumu na hizi habari zinaingiliana na mkopo hivyo basi utaweza kuja kupata mkopo mwaka wa pili.
Hivyo basi jandae vizuri usiwe mbishi sikiliza ushauri wetu vizuri na sisi tumepita huko.
Pia wenzetu mliosoma diploma tunaweza wasaidia mawili matatu.
Karibuni sana.