Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

jamani wadau samahani naomba mnisaidie kuhusu hii form ya bodi ya mkopo ni lazima kuambatanisha cheti cha form six kwa maana mm nimemaliza mwaka huu na sina hicho cheti inakuaje??[/QUO
Msaada pls unapojaza form ya loan F6 2016 kuna kipengele unajaza details if u have disability or not naomba kujuwa disability unayotakiwa kujaza km unayo ni ile ambayo kama vile upofu,ububu,ulemavu wa miguu mikono e.t.c au unajaza disabilty if u have any health problems like sickle cell anaemia, chronic asthma attack, allergy like skin medicine e.t.c pls naomba msaada
ndio kama sickle cell anaemia ni ishu wewe. we nenda kapime utapewa nakala kutoka huko hospitali kwa ajili ya ku prove tatizo lako na heslb wataamini.
pia kama wazaz wana disability au wamefariki ambatanisha nakala kutoka kwa dokta au cheti cha kifo kama mzazi hayupo duniani. ni vipengele vitakavyokusaidia kupata mkopo mwingi zaid.
unatuma nakala halisi za hostipat ila kile cheti cha kifo, ila kama form four, form 6 au diploma wewe unatuma photocopy
 
Ok thanx one more question km pia una ugonjwa wa pumu unaorodhesha? Au zinachukuliwa disability kubwa tu?
 
Ok thanx one more question km pia una ugonjwa wa pumu unaorodhesha? Au zinachukuliwa disability kubwa tu?
pumu sii fahamu vizur kivile ngoja waje waheshimiwa huku wakusaidie. ila najua ishu kama kiwete, ajali ilosababisha kupoteza kiungo cha mwili, upofu wa macho, hiv n.k unaambatanisha
 
mimi nina diploma ya computer science gpa 4.0 naweza pata telecommunication?
o level math na phy umefanya vizur? angalia chuo kinataka watu gani subiri waachie hiyo guide book ufate masharti ya chuo unacho apply
 
  • Thanks
Reactions: ejk
#big gifte na mm ni CBG nina chem na bio-D geo-C so mean 2-11 napenda sana cz za afya so nasomea nn hapo
 
Wakuu nina chemistry-D...biology.. D geography... C cz gani ya afya inanihusu na chuo ganii
cbg in general wanapigwa chini na komb ya pcb ila naamini ukicheki na vyuo vya private labaratory unapata kama kairuki, imtu huko na uhakika ila uwe una mihela ya kumwaga bana na heslb hawakupi hela inayozid 3.1 million. pia kampaya wana labaratory ila sikushauri uende apo chamsiing cheki hali ya hewa sasa maana ni ungozi wa magu huu. ada ya hivo vyuo ni 6million na ushee
 
#big gifte na mm ni CBG nina chem na bio-D geo-C so mean 2-11 napenda sana cz za afya so nasomea nn hapo
pia ukiwa mjanja MD unasoma kwa vyuo vya kairuk, imtu but kampala na ukakasi nayo halafu omba archibishop james. fanya hivi MD kairuki, MD imtu, MD archibishop james, labaratory imtu, labaratory kampala ila naogopa kampala kweli panahitaji moyo apo.
 
Nina CED nmesoma EGM ....O LEVEL nina 1.12 ..nataka nikasome ardhi je nitapata? Na course gan nichukue nzur ...msaada tafathali
we unapenda nini? jaribu ila duu naona ushindani uppo ila ukikosa una apply second application
 
Aah asante kaka but vp kwa bugando
kule kuna ushinda ila nakushauri hiyo kampala itoe weka bugando nina imani huwezi kukosa kimoja wapo, na possibility kubwa utapata imtu
 
Wakuuu naomba ushauru mie nimesoma HGK na nimepata division one ya point 8 yaan BCC he naweza chukua faculty Gan tofauti na education
zipo law halaf embu pitia comment za nyuma tushalieleza hili. im sory im tired siwez chambua tena
 
Nimesoma PCB nimepata DDC.Naweza kusoma pharmacy au medicine?? Chuo gani??
 
Back
Top Bottom