God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #101
ndugu ukisoma kuhusu ajira jiwekee asilimia 1% we jiandae kujiajiri,Vp kwa upande wa IT na forest ajira zake?
kama una wakukupa sapot anaweza kukuanganisha na ajira ila hivi hivi ni ngumu,
ila sijui bana maana naamini kila mtu ameandaliwa baraka yake na Mwenyezi Mungu.
unaweza kuwa bwana misitu ila ajira huko siongelei.