Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Baada ya matokeo kutoka kwa kwel cielewi hata niende kozi ipi sababu yametoka nje ya malengo kabsaa! ushauli tafadhal koz gani yenye sokn kwenye ajira itakayonifaa kutokana na ufaulu wangu wa E-Chem, D-georg & bios D
omba hizi:
1. animal science-sua
2. agriculture general -sua
3. agronomy-sua
4. education-udzm
5. education -duse
 
unakua unafundisha language uliyosoma. pia ukiwa mjanja ukifanya masters fasta unawez kuwa lecture vyuoni na mshaara wake ni mzuri kwa kwel hasa private. ila upige GPA kubwa basi.
wapo malecture kibao wamesoma langage wanajimwaga kinoma na kuna watu wanajua kusaka upenyo wengine ni wakalimani ila kupata hii kazi inabidi uwe mtaftaji
Vp geography and enviromental study ni nzur soko liko vp naweza kupata? Nimepanga niombe chuo cha SUZA naweza kupata kwa vigezo vya problem nataka chuo chengne beside SUZA naweza kupata? Wanataka geo and other subject
 
Naomba msaada nimesoma PGM nina DCD respectively nataka engineering nisome ipi na wapi
irrigation engnrng-sua

petroleum na mambo ya gas ipo udsm(ila hii cjui kama watakukonsda bila kemia ila kwa sasa inasoko )
 
Pls naomba course nyengne km unazijua tufnye kwa geo vs eng hata km haina loan priority cjajipanga nakusomesha vp wale wanaosomea zile za journalism wanakua na kazi tofauti tofauti au ndo wale waandishi wa habar na wanaosoma habar?
uandishi wa habari bana mimi sijui tenda zao na maslahi yao ila ukiwa superstar ukiweza kuteka watu kama akina millard ayo na jeri muro basi wewe kila kituo cha tv au redio utaitwa ila ndugu kama utakua mtu wa kawaida tuu sijui.
kuna watangazaji kama dj fetty, mamy babie n.k wanasakwa kinoma ila sasa ni mpaka uwe na ladha ya kipekee. kwa kweli sina uelewa sana na kozi za sananaa. labda angalia waamu wa arts zanzibar wanahitajika? serikali ya huko bado inahitaji watu?
mfani kwetu bara wakimu wa arts hawahitajiki serikali imejitosheleza na kuna watu kama miaka miwili mfululizo walisoma ualimu wa masomo ya sanaa saivi hawana ajira hawajui waende wapi.
so best nakushauri unapochagua kitu angalia na future yake, maeneo yaliyokuzungua, uhitaji wake na ushindani wa watu waliosoma hiyo kitu.
sina la kukushauri vizuri kikubwa pitia comments mbali mbali humu ndani na uhakika utajifunza mengi
 
Hahaha mkuu sawa ntajikinga nsiwe tapeli na wewe pia kama unahitaji msaada just nitafute ntakusaidia BUREEE
aaa...mimi ni mshauri tu, labda mimi msaada wa masters! ila sio mwaka huu
 
Vp geography and enviromental study ni nzur soko liko vp naweza kupata? Nimepanga niombe chuo cha SUZA naweza kupata kwa vigezo vya problem nataka chuo chengne beside SUZA naweza kupata? Wanataka geo and other subject
mambo ya environment sina ujuzi nayo. wadau watakusaidian humu
 
omba hizi:
1. animal science-sua
2. agriculture general -sua
3. agronomy-sua
4. education-udzm
5. education -duse
Hapo kwenye animal science, agriculture general pamoja na agronomy vp ajira zake znapatkana?
 
Medical Doctor
omba st francis morogoro au archibichop james na ile nyingine sjui ni tabora ila sina uhakika kama wanatoa MB.
hivo vyuo hapo havina ushindani pia ada ni ndogo. approximatelly 3million
kama una mapesa cheki imtu, hubert kairuki huko hukosi.
pia kampala ila hiki chuo sikiamini kina migogoro sana jaribu kukichunguza
 
kurudia kusoma A level tena ina maana TWO haina soko tena kwa medicine ni pharmacy ndiyo yafaa?
watu wana division one za nguvu huko we wajitapa na two?? acha kujiskia jione wa kawaida kwa hiyo two yako muhas, udsm, udom , hupati labda kcmc na bugando huko unaweza pata
 
Back
Top Bottom