Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Wewe mdanganye tu, ajira ngumu kupatikana. Utatembea na bahasha za khaki zikiwa na certifictaes hadi zitageuka rangi na kuwa nyeusi na bado hujapata hata kibarua. Vumilia kijanaKazi std ni masaa 8 kwa siku x 5 days per week, hii hufanya kuwa jumla kuwa masaa 40 kwa wiki. Ukitakiwa ufanye overtime ni maximum 10 ours per week, hivo jumla maximum ni masaa 50 kwa wiki. Nje ya hapo ni unyonyaji na utumwa.