Ushauri; Kazi inaelekea kunishinda

Ushauri; Kazi inaelekea kunishinda

kweli waajiriwa mna raha sana kuliko sie tuliojiajiri, mie na umama ntilie wangu bila kuamka saa 10 sipati nyama machinjioni ina maana siku iyo sina supu,mweee wateja wangu wote watahamia kwa mama kulusumu kwa iyo ata chapati zitadoda

Leo siku ilianza vibaya sana kwangu... full hasira lakini kwa coment yako imenifanya nicheke peke yangu! thanx for making my day
 
Aisee mkuu we vumilia while looking your way out,zipo organizations nyingi mostly private owned orgs wanatreatment hizo,so kuwa mpole piga kazi while unatafuta nyingine usiache kabla hujapata nyingine.Pole sana,i experienced the same issue na kampuni fulani hivi kipindi fulani.
Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.
 
Pole sana
 
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa
Hahaha
 
Angalia kwenye website ya bunge, documents part.
Mtoa mada, kwa sasa unaweza kuwaandikia barua idara ya kazi na kuwachomea waajiri wako. Wala usithubutu kwenda physically,manake nao watakuunguzia na utaikosa kazi. Kwa sasa,niamini, cv yako hairuhusu ww kuwa na jeuri kazini. Kuna level utafika ya kudengua na kufanya maamuzi ww.tembelea jukwaa la kazi uone wenzio walivyo desperate na kazi. Endelea kusaka kazi,inshaallah

Wavivu wote ndo tunapenda kuajiriwa manake utaangaliwa kama mtoto. Utakapojiajiri na kugundua nikilala hadi saa moja napoteza chance ya kutengeneza sh kadhaa, utaruka kitandani saa tisa! Hakuna kudanganya unaumwa ili uende kwenye ngoma kwa jirani manake unajua itakula kwako jinsi gani!ni kujituma full time, waulize wanaouza vocha na magazeti ubungo manake lazma wawahi high trafic
 
Back
Top Bottom