Ingekuwa hivyo Basi angesema familia yake ina watu nane na "mifugo miwili" lakini kasema familia yake ina watu kumi maana yake hao wawili wamekuwa included Sasa ulitaka adanganye kuwa Kuna watoto wawilo snalea wasio wake? Mna hoja za kitoto sanaYuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.
Ila ujue si kila sufuria linaweza tumika kwenye hizo jikoDuuh nitajipanga kiongozi
Akuombe radhi wewe Kama Nani? Watoto wake ni wanne na wawili anawalea ambao sio wake, hivi Kuna moyo mzuri zaidi ya huo? Ulitaka adanganye kuwa wote watoto wake ili iwaje?Naunga Mkono Hoja
Wote Ni Watoto Wako
Aombe Radhi.
Bei gani bossView attachment 1347209
wakuu kwa wale ambao bado mnatumia majiko ya umeme ya zamani kuna hiki chombo (induction cooker) hili linatumia umeme lakini ni mbadala wa jiko la umeme ambalo mmeyazoea.
matumizi yake ya umeme ni mdogo compaired na yale ya kawaida na chakula kinawah kuiva. yani kwa kifupi hamna energy inayopotea. Angalizo tu sio masufuria yote au vikaangio vinanafanya kazi kwenye hii. Kuna masufuria na vikaangio special kwa ajili ya majiko ya induction. maharage nusu saa tu unaunga. nyama zikienda sana dakika 15
Kwenye gas jumlisha 52000(gas)+15000(umeme)=67000
hesabu ni janga mkuu! kuna aliyeipindua kwa, miezi 3 akaweka hitimisho kuwa umeme bado ni nafuu. nimebaki na aibu.80,000 mwezi vs 52,000 wiki tatu.
And u think 80,000 kwa mwezi ni nafuu zaidi, aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikue kuelekea wapi? Manake kwa sasa nina miaka 75
na baadhi yake pia haziwezi kutumika kwenye majiko mengine hususani majiko ya kuni[emoji136]
Usikariri kuwa watu wote hutumia umeme wa 15000 kwa mwezi yaani unit 42Kwenye gas jumlisha 52000(gas)+15000(umeme)=67000
Hata 20 hujafikaMkuu nikue kuelekea wapi? Manake kwa sasa nina miaka 75
Kwani mleta mada alisema hao watoto wawili wametoka wapi?
What if ni wa ndugu zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini niiache wakati inanisaidiaAcha hizo pressure cooker uchemshie maharage kwenye gas si unamaliza gesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kumbe bado bachela? Mtungi unakaa muda gani na ni size gani?Kwenye familia hata iwe kubwa vipi, mtungi unakaa minimum mwezi au miezi miwili.
Mimi bachela natumia mtungi miezi sita. Napika kila jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Induction cooker nitapata wapiJiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukweli hata bei yake sijui bosi mimi nililikuta tu kwenye nyumba nayoishi
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
Induction nitap
Induction cooker nitapata wapi
Niko lako la Sina gani? Au haya ya gesi na umeme kwa pamoja
Daah!!!Yuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.
Mungu akubariki Bro.Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!
Siku zote tunasema watoto wetu na wao wote wamezoea hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app