Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Gesi plate 4 ndo mpango mzima
Iko fasta sana na gharama ni nafuu

umeme nakumbuka tulikua nalo zamani ni ishuuu hizo billi ilibidi kukaa na Tanesco vizuri
Jioni umeme unakua hauna nguvu basi hamuivishii.,sijui cz kila nyumba unakua unatumika.. ss sijui siku hizi labda yako tofauti
Majiko na vifaa vya umeme vya zamani vilikuwa vyatumia umeme mwingi sana. Siku hizi vifaa vyote vinatumia umeme kidogo ndo maana hata viwanda vinaachana na matumizi ya kuni na kuweka umeme au gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa jiko la umeme hata ukiwa majalala ukinunua wa buku 5 mnapika bila stress.
Ila mtungi wa gesi ukiisha mzee baba elfu 55 lazma ikutoke na kama huna ndio unarudi kwenye mkaa au mnaenda kula mgahawani.
Sema umeme changamoto yake ni huku kukatika hovyo tu.
Gesi au Mkaa inakuwa kwa dharura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee bado mnapikia kuni zama hizi za gesi?.na mkaa juuu?.
Bado uwe na la umeme na la gesi?..mnapika nini hasa

ama mko wengi kiasi gani

the only cost efficient jiko ni gesi
Ukiwa na gesi say plate 3,umeme plate 1 ya backup na oven

Labda la kuchomea nyama as an extra nje

kuni na mkaa ya nini?.kupikia maharage?.tumika pressure cooker kwenye Gesi
Acha hizo pressure cooker uchemshie maharage kwenye gas si unamaliza gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Ufupi.
Unafuu.ni kuwa jiko la multiple 2plate gas ___2plate umeme + Ovena.
faida yake
gesi kunawakati inaisha chakula hakijaiva unahamishia kwenye umeme unmaliza mapishi.

Umeme kuna mda unakuwa low voltage + kukatika au kufanyiwa matengenezo line means... huwezi kupika

Matumizi.
Unit.za umeme kwa Siku maximum
Asubuhi.mchana na Jioni. 3unit= 2500/*30------75000

Ges. Mtungi wa 53k unaweza kutembea nao mpka mwezi na nusu.

NB: gharama huweza kuongezeka kutokana na mtumiaji .
Pia. Nimuhimu kuhakikisha Usalama Unazingatiwa ili kuepuka Ajali za moto.
Gesi ni hatari umeme pia ni hatari .
Umeme gani Unit 3 ni 2500?
2500 unapata unit 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa anawatenga asingeishi nao. Mtu ameshangaa hiyo familia ya watu kumi imewezekanaje na yeye kamjibu mchanganuo Kama ulivyo ulitaka adanganye ili iwaje? Usitake kukuza mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom