Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Lazima utakuwa familia bora, hayo ma cooker yote bei gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.

Pressure cooker inapika bila kuweka hata jikoni mrefu. Ule mvuke unaendelea kupika hata ukizima jiko. You save alot.

Rice cooker haili sana umeme, inatumia umeme kidogo inapika chakula kizuri.

Jiko la umeme linasave gesi ikiisha.

Gesi inatumika kupika vyakula vya muda mrefu kama makande, nyama, maharage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya

Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi

maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi

kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi

Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako

Majiko lazima yawe yote

1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme

Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama

hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Mawazo ya watu wa daraja la 1, hiyo ni strategical thinking, unaweza kula aina ya vyakula kwa namna unayohitaji, pia ikitokea hitilafu yoyote option zipo nyingi.
 
12v-battery-powered-solar-induction-cooker-1000w.jpg_350x350.jpg

wakuu kwa wale ambao bado mnatumia majiko ya umeme ya zamani kuna hiki chombo (induction cooker) hili linatumia umeme lakini ni mbadala wa jiko la umeme ambalo mmeyazoea.
matumizi yake ya umeme ni mdogo compaired na yale ya kawaida na chakula kinawah kuiva. yani kwa kifupi hamna energy inayopotea. Angalizo tu sio masufuria yote au vikaangio vinanafanya kazi kwenye hii. Kuna masufuria na vikaangio special kwa ajili ya majiko ya induction. maharage nusu saa tu unaunga. nyama zikienda sana dakika 15
 
View attachment 1347209

Weka picha sio lazima tu google muda unatopea
 
Lipia tangazo.
 
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko maeneo gani mkuu unanunua 52,000, njoo dukan kwangu nauza 47,000 .Kijitonyama mabatini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... hesabu ni janga la taifa Mkuu; msamehe bure.
Yeye kaongea kiujumla na wenye uelewa mkubwa wameelewa. Ambao hawajaelewa ni kama wewe na mwenzio mnaotaka kufafanuliwa kuwa umeme unatumika kuwasha taa, tv, fridge, decoder, kuchaji simu, redio, hilo jiko, etc wakati gesi hapa anapikia tu.
 
Nimegundua Mleta mada alishachapiwa mke daah watoto wawili wa kufikia inauma hadi anawataja na kuwatenga na wanae

Kwenye mada,gas ni bora ila umakini unahitajika katika kuutunza mtungi
 
Nunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya

Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi

maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi

kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi

Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako

Majiko lazima yawe yote

1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme

Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama

hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Asipoelewa hapa basiiii tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom