Habari wana JF.
Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?
Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Jamaa mpuuzi sana huyo! Si ajabu anawanyima chakula hao watoto!Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbs, yeye ameomba ushauri wa matumizi ya umeme au gesi? Mambo ya familia si yetu.Ungeonekana wa maana, kama ungejibu kama alivyo uliza kwenye mada yake.
Mambo ya familia ungemuachia mwenyewe.
Ni ushahuri tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lengo lake halikuwa kubagua, alishaona akisema watoto 6 kutakuwa na maswali mengi + ushauri humohumo; Akaona afafanue maana tayari huyo aliyeuliza 10? Inaonesha kahamaki.Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusile maharage na makande tena kisa niniTatizo letu sisi wa-TZ tunakula vitu ambavyo vinakaa sana kwenye jiko, mfano maharage au mtu anapika makande hayo ni mavyakula ya ku-discourage kabisa. Yaani maharage ya 2000/- yanatumia engergy ya 5000/-
Hii ni hisia yako tu.
Ningewatenga ningekaa nao?
Hapo naonesha watu wa kiuno changu ma wasio wa kiuno changu basi.
80,000 mwezi vs 52,000 wiki tatu.Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF.
Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?
Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Daah maneno makali sana mkuu....Yuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.
Unatafuta ugomvi na WapareTatizo letu sisi wa-TZ tunakula vitu ambavyo vinakaa sana kwenye jiko, mfano maharage au mtu anapika makande hayo ni mavyakula ya ku-discourage kabisa. Yaani maharage ya 2000/- yanatumia engergy ya 5000/-
Huoni kwa mahesabu hayo bado ges iko cheap???
Ndani ya miez mitatu
Gas-208000
Umeme-240000
hii ni tafsiri yako tu nadhaniAcha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app