Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Wewe utaoa kweli?

Daaaaa nimecheka sana.

Bado namtafuta sabosabo na wewe Ukimuona muambie natafuta nina R. B yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaoa vizuri na mke wangu atanipenda sana

Maana wakati anafua au kufanya usafi mimi ntakua

jikoni namsaidia kupika,akimaliza usafi namimi nimemaliza kupika

Nitamuachia jiko lake aandae chakula alete mezani,wakat saa hiyo nimeenda kuoga kdg
 
Kakatika kazi zangu nime visit kwa matajiri kadhaa na nimekutana na majiko ya mkaa na kuni na gesi na umeme na yote wanatumia. Hao ni watu wana pesa wana investment za ukweli.

Mkaa na kuni sisi masikini ndo tunajua ushamba na ujanja ni gesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana hio nadhani ukubwa wa familia unachangia...
Kwangu tunaishi watu 4 mnafata nini kwenye kuni.?na ht km nikipikia watu 12 siku za wageni bado ntatumia gesi

Nashangaa mtu kutumia nishati zote hizo..moshi uwiii
Am sure huyo tajiri anapikiwa si yeye yuko kwenye kuni
 
Mh so unawaona wanao pikia kuni ni washamba? Au

Sent using Jamii Forums mobile app
Somehow to be honest😅😅😅
Wenye pesa najua wanafata technology za mzungu ...what r the chances kukuta mzungu anapikia kuni hehehe
Lazma kwanza uwe na jiko la nje kwa hio style

bt still nadhani anaetumia gesi,mkaa na kuni ana hela zaidi na muda pia
Binafsi kuchochea kuni zama hizi itakua ngumu
 
Sasa tule nini mkuu, mbadala wa maharagwe ni nini.
Ujue kule Miami, Frolida USA, wali harage ni very expensive meal..

Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage kwenye pressure coocker huiva kwa urahisi na unaokoa gharama.
Mm natumia hizi pressure coocker za kawaida za kuweka kwenye gas.
Nikiamka nachambua maharage nayaosha nayaacha kwenye maji yaan nayaloweka.
Nikitoka kazini nayaweka chumvi na mafuta naweka kwenye pressure coocker mchanganyiko woote huo lengo langu ni ku raise BOILING POINT ya mchanganyiko huo ndani ya pressure coocker kwa gesi natumia dakika 20 harage tayari.
 
Habari wana JF.

Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?

Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Ukiweza nunua yote, hutakwama. La umeme ni back up pindi gas ikikuishia gafla.
 
Habari wana JF.

Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?

Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Hela ya umeme wa Mwigulu unayo wewe hadi ununue jiko linalotumia umeme,si umeona jamaa wanavyokaba kila kona.
 
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje ni energy saver?
 
Back
Top Bottom