Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,875
Indesit... ni umeme tuu plate nne. Kuna picha nineweka kwenye huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mrembo
Indesit... ni umeme tuu plate nne. Kuna picha nineweka kwenye huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa Indesit four plates pamoja na oven. Watt nitaangalia baadae. View attachment 1348025
Sent using Jamii Forums mobile app
hesabu ni janga mkuu! kuna aliyeipindua kwa, miezi 3 akaweka hitimisho kuwa umeme bado ni nafuu. nimebaki na aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua gesi mkuu umeme kila siku mtakula vibichi.
jarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana
Kufikia Tariff ya kiwanda watakiwa utumie umeme zaidi ya unit 250 kwa siku yaani kwa mwezi 7500 units
Unapata wapi proof ya kusema kachapiwa?Kajibu wa kiuno chake na wasio. Wangekua wa ndugu zake angesema tu
Nitaoa Magufuli akitoka madarakani.Mkuu, kumbe bado bachela? Mtungi unakaa muda gani na ni size gani?
Wakati nipo bachela mtungi ulikaa hadi miezi sita, leo hii na familia ndogo tu mtungi ukikata siku 40 nashukuru Mungu.
Unapata wapi proof ya kusema kachapiwa?
Na kama ameamua kutokusema? Huo ulazima wa kusema unatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba wakimuhamishia tariff ya kiwanda anakuwa ameula! Maana tariff za viwanda zipo chini kuliko za matumizi ya domestic
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la umeme ninalo hata kuunganisha sijaunganisha, huku nilipo umeme hauna nguvu kwa masaa 18 ya siku.Kama jana huku nilipo wangeshinda njaa, wangelala njaa ulikatika toka saa 12 kurudi saa 5 na nusu usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
kiwanda kina 2 parts tariff , kWh na kVA , huo udogo unakujaje ? pambaf
Hilo la umeme ninalo hata kuunganisha sijaunganisha, huku nilipo umeme hauna nguvu kwa masaa 18 ya siku.
Kufikia Tariff ya kiwanda watakiwa utumie umeme zaidi ya unit 250 kwa siku yaani kwa mwezi 7500 units
Watakushushia bei kutoka 298 hadi 151 kwa unit
Viwanda vinalipa umeme bei ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimetoka home nimezima fridge, tangu jana haliwaki mfululizo dakika 10, ni on off! Umeme unasumbua sana ndio maana jiko la umeme wala sikujihangaisha kuliconnect lipo kama picha tuRRONDO jamani hata mie huku ikifika saa 1 au saa 2 usiku mashine haziwaki, friji moja inajizima.
Inabakia friza tu inajikokota.
Hapo ni mpaka saa 8 usiku ndo mambo yanakaa sawa.
Na wakati mwingine unaona mchana mambo yanabadilika.
Umeme Tz majanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikifika saa moja na kuendelea kila mtu anakuwa home, tv zote on,watu wanapika,wanapiga pasi,wengine wanawasha pump za maji, shughuli zote kwahio matumizi ya umeme yanakuwa juu sana mpaka kuanzia saa nne usiku ndio matumizi yanapungua tenaRRONDO jamani hata mie huku ikifika saa 1 au saa 2 usiku mashine haziwaki, friji moja inajizima.
Inabakia friza tu inajikokota.
Hapo ni mpaka saa 8 usiku ndo mambo yanakaa sawa.
Na wakati mwingine unaona mchana mambo yanabadilika.
Umeme Tz majanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi ingia tariff ya kiwanda mpaka uwe mtumiaji mkubwa mno wa umeme , automatikally unakua na transfoma yako mwenyewe ya 33kV
No. Thats cheap a$$ argument.Mkuu njoo kwa id iliyoleta mada nikujibu vizuri naona povu lako limezidi inauma kuchapiwa ee