DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,907
- 4,235
Ikoje hii?jarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana
Ikoje hii?jarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana
Kama kwa mwezi unatumia umeme wa 80k kwa jiko la umeme na Gas unatumia 52k kwa wiki 3 maana yake bado gas ni rahisi kwa mwezi unatumia Kama 67+k tuJiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la back up ya gas, nunua mitungi miwili.Nunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya
Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi
maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi
kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi
Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako
Majiko lazima yawe yote
1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme
Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama
hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Hii ikoje?Kama unataka unafuu jipange ununue cooking range ya beko ya kuanzia plate 4 inaweza kua mixed umeme na gas au gas pekee (zipo brand nyingi ila nna uzoufu na beko)
Mtungi wa 15kg unakaa miezi minne na wiki moja kwa matumizi ya kawaida ya familia ya watu wanne, kwa familia yako ya watu 10 unaweza kufikisha miezi miwili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo tajiri kupikia mkaa na kuni kuna halalisha mkaa na kuni ni bora kuliko umeme na gas?INisha wahi mtembela tajiri nmoja mkubwa sana Arusha, kwanza vyakula vyake vinapikiwa kwenye mkaa na kuni, na ni ana pesa si za mawazo mawazo kama. So nakuelewa sana, Majiko ya mkaa na kuni yanatumika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo majiko ambayo yana accomodate gas na umeme at par. Plate 2 gas 2 umemeMhhh jmn why majiko mawili
Bora anunue la gesi plate 3 na umeme plate 1 ya backup gesi ikiisha
Naongezea tu aina ya moto unaopikia una determine ladha ya chakula.Nyama ya kuchoma kwenye OVEN hata si ielewi kwanza
ukiwa mla nyama sana huwezi chomea nyama kwenye oven
mahotelini yenyewe nyama wanachoma in local ways ndio nyama inatoka Tamu
umeshawahi kula chipsi mayai iliyopikiwa kwenye gesi vs chipsi yai ya mkaa?
Jiko la kuni ni kwa ajili ya Event, Birthdays event zote sherehe sherehe zote tunatumia Kuni
Jiko la mkaa unapikia vitu vinavyochelewa kuiva kama makande,Ngararum,nk nk
Kuna vyakula ili usikie Taste na ujue umekila kweli hicho chakula Pikia Mkaa.
Hata angesema ana watoto 10 mngehoji tu hii ndio Bongo...Naunga Mkono Hoja
Wote Ni Watoto Wako
Aombe Radhi.
raw materialHuo umeme uwe labda umeunganishwa kwenye grid ya magogoni lkn huku kajamba nani umeme sio wa uhakika unaweza kuwa unakula kila siku raw material tuu

Chukua yoteHabari wana JF.
Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?
Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Gesi kasema 52,000 kwa wiki tatu=siku 21Kwenye gas jumlisha 52000(gas)+15000(umeme)=67000
Hili jiko bei yake kwa sasa ni shillingi ngapi?