dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,604
- 60,864
kiwanda kina 2 parts tariff , kWh na kVA , huo udogo unakujaje ? pambaf
Una familia??I swear sina jiko la mkaa na sina uzoefu nalo sana
napikia gesi
Makande yanaiva kaa pressure cooker haraka tu kwenye gesi
na kuhusu kupika napenda sana kupika..napika vitu vingi sana tu..perhaps una mazoea na jiko la mkaa
Gesi iko vizuri sana tu..inaokoa muda na unapikia ndani kwa usafi...mkaa lazma upikie nje
nilifundishwa kupika zama za jiko la umeme hadi gesi
Ipo siku utawaelewa kwasasa acha ibaki blah blahLadyRed,
Kuna watu wakija kwangu wananiambia ' itabidi ujenge jiko la nje' nawauliza kwanini wanasema eti wakija watu wengi blah blah nabaki nawashangaa
Ndio
Kama si yetu kayaleta ya nini kwenye mada ya gesi na umeme?Kweli kbs, yeye ameomba ushauri wa matumizi ya umeme au gesi? Mambo ya familia si yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
inauzwaje kiongozi
Duuh nitajipanga kiongozikuna hii brandi ya BlackStone, yanagonga 100k
Basi mmeajiri mtoto underage kama mfanyakazi. Mfanyakazi angekua amekuzidi umri ungemtambulishaje? Mfano wangu kanizidi miaka 6Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!
Siku zote tunasema watoto wetu na wao wote wamezoea hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
Yeye kaongea kiujumla na wenye uelewa mkubwa wameelewa. Ambao hawajaelewa ni kama wewe na mwenzio mnaotaka kufafanuliwa kuwa umeme unatumika kuwasha taa, tv, fridge, decoder, kuchaji simu, redio, hilo jiko, etc wakati gesi hapa anapikia tu.
Inaitwa Indesit four plates pamoja na oven. Watt nitaangalia baadae.Hilo jiko la umeme la energy sever linaitwaje ni kampun ipi na ina watt ngap naomba kujuzwa sasa iv kama hujanunua kitu cha energy saver inakula kwako hata mafriji yapo
Hujaelimikachukua jiko la gesi la plate nne linatumia gesi kidogo
Naona unafuga watu hapo kwakoHabari wana JF.
Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya gharama na matumizi yake kwa ujumla?
Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Hata mie naona bado Umeme ni nafuu kwa kiasi chakeJiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
We naye acha kuzingua. Hao si watoto wake ndo maana kaonesha kabisa kuwa si wake...Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
We naye kusoma hujui kasema gesi haifikishi mweziHuoni kwa mahesabu hayo bado ges iko cheap???
Ndani ya miez mitatu
Gas-208000
Umeme-240000
Acha kulazimisha mambo hao sio watoto wakeNaunga Mkono Hoja
Wote Ni Watoto Wako
Aombe Radhi.
Ndio unafiki wa Watanzania. Unawaita watoto wako ila matumizi na shule kila mmoja anasoma kivyake....Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!
Siku zote tunasema watoto wetu na wao wote wamezoea hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafiki mwingineKweli kabisa hakua na mantiki ya kuwabagua watoto tena kwa jamii tusiojuana kwa uhalisia wetu
Sent using Jamii Forums mobile app