Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Yuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.
Ingekuwa hivyo Basi angesema familia yake ina watu nane na "mifugo miwili" lakini kasema familia yake ina watu kumi maana yake hao wawili wamekuwa included Sasa ulitaka adanganye kuwa Kuna watoto wawilo snalea wasio wake? Mna hoja za kitoto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1347209

wakuu kwa wale ambao bado mnatumia majiko ya umeme ya zamani kuna hiki chombo (induction cooker) hili linatumia umeme lakini ni mbadala wa jiko la umeme ambalo mmeyazoea.
matumizi yake ya umeme ni mdogo compaired na yale ya kawaida na chakula kinawah kuiva. yani kwa kifupi hamna energy inayopotea. Angalizo tu sio masufuria yote au vikaangio vinanafanya kazi kwenye hii. Kuna masufuria na vikaangio special kwa ajili ya majiko ya induction. maharage nusu saa tu unaunga. nyama zikienda sana dakika 15
Bei gani boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ujue si kila sufuria linaweza tumika kwenye hizo jiko

Sent using Jamii Forums mobile app
na baadhi yake pia haziwezi kutumika kwenye majiko mengine hususani majiko ya kuni

unaongeza utata! hii mada inafaa pia kuiweka katika muktadha wa lugha ya picha kulingana na msamiati uliotumika.

mada kuu JIKO
mada ndogondogo AINA
-la umeme; la kisasa na aghali
-la gesi; la kisasa na gharama kiasi
-la mkaa; ufanisi wa uhakika ila chafuzi
-la kuni; ufanisi, la kizamani, sumbufu (haliendani na nyakati)

wapo walioshauri JIKO LA GESI ila kwa tahadhari kwamba ukiishiwa senti yu walaka njaa. hakika chaguo hili sharti ujiweke kwenye uzani

watoa hoja wanapendekeza achukue MAJIKO MAWILI hususani ya kisasa tu. maana yake ni kuwa jiko moja likileta 'zengwe' unahamishia hitaji lako jiko jengine.

pia wapo wanaoshauri MAJIKO YOTE 4 endapo uwezo na karba yake inaruhusu na wakashauri ahakikishe yu ala chakula nyumbani na katu asiwajue wauza migahawa

zaidi mjadala unachangamshwa na idadi ya watoto na ukubwa wa familia!

dogo Aslay tuwekee tena ule wimbo wako MIE NACHUKUA JIKO tujikumbushe dhima msingi maana wangwana washatuvuruga.

wakuu, mada ni jiko.

hii ni chombezo tu na kahawa, kwa comments nyingi hapo juu mhusika ameshapata jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye familia hata iwe kubwa vipi, mtungi unakaa minimum mwezi au miezi miwili.

Mimi bachela natumia mtungi miezi sita. Napika kila jioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kumbe bado bachela? Mtungi unakaa muda gani na ni size gani?

Wakati nipo bachela mtungi ulikaa hadi miezi sita, leo hii na familia ndogo tu mtungi ukikata siku 40 nashukuru Mungu.
 
Induction nitap
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.

Sent using Jamii Forums mobile app
Induction cooker nitapata wapi
 
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.

Sent using Jamii Forums mobile app

Niko lako la Sina gani? Au haya ya gesi na umeme kwa pamoja
 
Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!

Siku zote tunasema watoto wetu na wao wote wamezoea hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki Bro.
 
Back
Top Bottom