T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,298
- 44,767
Mkuu induction cooker hiyo bei gani. Natarajia nijilipue niinunue hata mwakani uko nikiamua kujipikia.jarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana

