Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Ushauri kati ya jiko la umeme vs gesi

Unataka niambia hadi leo hii hauna jiko la mkaa kwako?

wewe utakua hupiki vyakula na swala la upishi litakua limekupitia kushoto

haya hebu niambie Lady ukipikaga makande huwa unayapikia jiko gani?
I swear sina jiko la mkaa na sina uzoefu nalo sana

napikia gesi
Makande yanaiva kaa pressure cooker haraka tu kwenye gesi

na kuhusu kupika napenda sana kupika..napika vitu vingi sana tu..perhaps una mazoea na jiko la mkaa
Gesi iko vizuri sana tu..inaokoa muda na unapikia ndani kwa usafi...mkaa lazma upikie nje

nilifundishwa kupika zama za jiko la umeme hadi gesi
 
Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!

Siku zote tunasema watoto wetu na wao wote wamezoea hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn hapa , umewatambulisha!!!
 
Mkaa? Kuni?

Hayo ni mambo ya kizamani sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
kwako ni ya kizamani sana yawezekana ipo hivyo

ila kwangu majiko yote yapo kuanzia mkaa,kuni

Ukishakua mfugaji hasa kuku,na hupitishi wiki hujachinja

utaelewa maana ya Jiko la mkaa lina kazi gani.

Huwezi elewa umuhimu wa Jiko la kuni ila ipo siku 1 utaelewa.

Mkaa + kuni wala sio uzamani Chief ni basi tu huna matumizi na haya majiko.
 
Kuna watu wakija kwangu wananiambia ' itabidi ujenge jiko la nje' nawauliza kwanini wanasema eti wakija watu wengi blah blah nabaki nawashangaa
Thank youuu

nje perhaps kama una open kitchen kuja dining room na sebuleni waweza lihitaji mana kukaanga hata samaki tu ni ishuuu lol
Ila km jikoni kuna mlango hulazimiki pikia nje

nadhani ni Mazoea ya kipindi watu wanapikia majiko ya mkaa sana

au ukiwa na washroom ya nje na stoo unaweza weka na kajiko kidogo
 
Gesi ni Bomu lenye uwezo wa mlipuko TNT 4000C

Achana na gesi utalipua nyumba.

“Sustainable Portfolio Worth About 1.5 Millions/Month | 2020”
 
CONTROLA,
Hata sisi kila wiki tunakula kuku,nyama nk
Ama mnachoma mda wote?. Mara nyingi ni soup,mchemsho ama fried makange nk

mkaa ukifuga kuku labda kuwawekea bandani mle wapate joto si ndio?.

jiko la kuni shughuli za watu wengi unazipata mara ngapi kwa mwaka tuseme?.

nadhani kila mtu ni kuendana na mahitaji yake

btw nikupongeze mana kutumia nishati aina zote kuanzia kuni,mkaa,gesi na umeme bila shaka wewe ni mtu mwenye uwezo mkubwa

sie wa gesi tuna'cut cost sana lol
 
Gesi ni Bomu lenye uwezo wa mlipuko TNT 4000C

Achana na gesi utalipua nyumba.

“Sustainable Portfolio Worth About 1.5 Millions/Month | 2020”
Mara ngapi huwa yanalipuka?.
Tuchukue tahadhari zinazopaswa na tuombe tu Mungu
 
Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi yupo sahihi ,watoto wa kufikia ....!! Hawawezi kurithi na watoto ambao wana baba

sent from toyota Allex
 
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo gesi kwa mwezi utatumia 69000 bado Ni cheap
 
LadyRed,
Kuna watu wakija kwangu wananiambia ' itabidi ujenge jiko la nje' nawauliza kwanini wanasema eti wakija watu wengi blah blah nabaki nawashangaa


Hakun kitu nachukia km mazaga zaga kwenye nyumba! Hahhaa .uwe na kijiko cha nje km mama zetu😁😁! Mie jiran aliniambia jenga karo la kuoshea vyombo nje.tena akaniconnetc na fundi kbs..nikamwambia jiko kubwa hivi tena nianze kuchafua uwanja kujenga makaro? Akikuona unapanda maua anakuambia kwann usipande mahind na migomba mwanangu? Maua yansaidia nn sasa🤣🤣!
 
Mtoa mada nunua plate 2gas na plate 2 umeme..alafu umeme hauli kihivyoo! Umeme pikia vitu simpo...! Maisha rahis kbs..mm gesi na umeme naopt umeme
 
Back
Top Bottom