LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Mhhh jmn why majiko mawiliNunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya
Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi
maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi
kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi
Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako
Majiko lazima yawe yote
1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme
Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama
hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Bora anunue la gesi plate 3 na umeme plate 1 ya backup gesi ikiisha