wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
Mkuu tuache ushabik....umewah tumia iphone,...na kama NDIYO...matumiz yake yakoje ukilinganisha na sm zngine kubwa za android....??Ila nimeshangaa unai dis iPhone na hiyo sijui simu gani unatumia maana post moja jinsi inavyokusumbua mpaka umeituma mara tatu mkuu dah..!!
Back fo the point, Jamii forums kwenye App Store ipo na link ni hii hapa chini na pia hata ukisearch inakuja, sasa sijui ulikuwa unaitafutia wapi!!
JamiiForums on the App Store
Sent using Jamii Forums mobile app