Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Inategemea muhusika unapenda nini,kama unapenda kucheza na technology kuweka mziki docs kwa itunes,hakuna sharing za hovyo chukua iphone sema kama technology iko kando utateseka na iphone maana huwezi weka mziki vituo vya mtaani haaa haaa,mm napenda vitu complicated na unique natumia iphone hiyo unayoitaka nanso far iko good
 
Pia kama mtu wa kubalisha sana simu chukua iphone sababu iphone utakayonunua milioni moja leo baada ya miaka miwili unaweza iuza kwa laki nane au zaidi ila samsung utakayonunua milioni moja leo after two year utaiuza kwa lakini nne au hata chini ya hapo so inategemea na wewe pia
 
1- Kweli na pia sio kweli. AirDrop
2- Kuna Apps kibao zina download hizo video km vile app inaitwa Document na ipo App Store
3-Home screen unaweka picha yoyote ile utakayotaka. Wallpaper na pia kuna still wallpaper au live wallpaper unachagua mwenyewe
4-Storage zinajaa labda kama kwako unategemea kuweka full movies tuu kujaza simu na hauna data nyingine.
5- Sio apps zote ni za kulipia pia kumbuka ata Play Store zipo za kulipia na ukitaka za kulipia kwa bure pia iPhone kuna njia ya kuzipata.




Mwisho nimehisi vingi umeambiwa tuu kwa kukaririshwa na hujawahi kutumia iPhone (iOs) kabisa. Kama ulitumia basi ulikuwa hujui kuitumia na ulitaka itumia kwa mazoea.
100% naunga mkono
Iphone ni best

[HASHTAG]#WpK[/HASHTAG]
 
Kwa apps zetu za kibongo hakuna inayouzwa kwenye iphone store,watu tunatumia jf,fb,insta,badoo etc hizo ni free bado kwa games apple kuna games kali balaa. Kwa storage ni wewe iko ya gb 16 mpaka ya gb256
 
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.

Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.

Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.

Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.

Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.

IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.

Hayo yote nayaona ni ya watoto.

Kubadilibadili sijui DP, wallpaper ni mambo ya watoto wa form two.

Kununua apps sio kutawaliwa, ni huduma kama nyingine. Apps ni za uhakika sio unakuta apps za kuchaji simu kwa solar.

Hadi hapo sijaona kutawaliwa kokote.
 
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.

Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.

Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.

Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.

Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.

IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.

Unauhakika!!!?? Usiseme kama ios hujawahi hata itumia,nitajie app ya android ambayo utaipata free hapa tz na apple inauzwa.
Customization mbona unaweka pic uipendayo wewe tena kucopy picha toka iphone kwenda pc hakuhitaji hata itunes.
Video unadownload kwenye pc kisha unaiweka kwenye simu shida iko wapi,pia hakuna haja ya video nyingi kwenye phone ujue labda kama huna kazi mjini hapa na TV nyumbani huna
 
Sio sifa mtu kapenda kanunua mbona unataka kuingilia mapenzi ya watu? Binafsi samsung aina yoyote ile ata niikute chumbani nairusha nje.
Tatizo mnalazimisha kila mtu apende mnavyopenda nyinyi.

IPhone ni simu kama zilivyo nyingine.

Hoja ya ubora wa iphone,huwezi mueleza mwenye s7 au s8 au hii a8 utaonekana una mahaba binafsi tu.
,
 
IPHONE hakunaga matolea ya hovyo hovyo kama SAMSUNG,jiulize ulishawahi kuona kuna iphone ya buttons..

Huwezi compare IPHONE na samsung never!!!!

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
A8 labda ya 2016 yenye exynos 7420 hii kidogo inaweza compete na hio iphone na ukaenjoy simu,

A8 ya 2015 sio nzuri kwa standard za sasa unless unaipata chini ya laki 4.
Hiyo A8 ya 2015 inauzwa chini ya laki 4 ikiwa mpya au used?
 
Hiyo A8 ya 2015 inauzwa chini ya laki 4 ikiwa mpya au used?
hata kama haiuzwi hivyo hio ndio thamani yake mkuu.

1. ni ya 2015 haina tena warranty
2. inatumia snapdragon 615 ambayo ni soc ya kizamani kwa sasa na isio na nguvu kivile even baadhi ya soc za low end kama sd430 na 435 zinaipita.

kitu kizuri kidogo ni display ya super amoled,
 
Back
Top Bottom