Dickson Temba
Member
- Apr 30, 2013
- 5
- 0
Kushare app I mean ukipata paid app mtu aliyo hark unaweza share setup
True!Ukitaka simu ya kukutawala nunua Iphone....ukitaka simu ya kuitawala nunua Android.!
Umetisha
redio unasikiliza online only na nyimbo ukidownload huwezi isikiliza kama kwenye android huwa tunatumia itune kuingiza nyimbo na hapa lazima uwe na computer na iyo program..... vilevile huwezi rusha nyimbo kupitia bluetooth kwa mtu wa android mwenye iphone mwenzio sana tu.... machache nayoyajuaHv tunaomba kujua ni kifungo gani kwa watu wa iphone maana nasikia hakuna uhuru kabisa, ufafanuzi please
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
ndio maana nimeinunuaTafuta mtu mwenye iPhone....
Muombe japo uishike kwa dakika mbili tu.....
Ufungulie na mziki kidogo kwenye earphone zake......
Hapo ndipo utakapojua kuwa kuna simu na kifaa cha cha mawasiliano.....
Kitu pekee ninachokutahadharisha ni kuwa iPhone zina addiction......so be careful....
![]()
![]()
redio unasikiliza online only na nyimbo ukidownload huwezi isikiliza kama kwenye android huwa tunatumia itune kuingiza nyimbo na hapa lazima uwe na computer na iyo program..... vilevile huwezi rusha nyimbo kupitia bluetooth kwa mtu wa android mwenye iphone mwenzio sana tu.... machache nayoyajua
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
kipya kinyemi kaka sikua nafahamu vp redioKuna app unadownload nyimbo na kusikiliza free kama android.
Mambo ya kutumiana nyimbo kupitia Bluetooth ni mambo ya kizamani.
kipya kinyemi kaka sikua nafahamu vp redio
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Ulinunua shingapi iphone yako?redio unasikiliza online only na nyimbo ukidownload huwezi isikiliza kama kwenye android huwa tunatumia itune kuingiza nyimbo na hapa lazima uwe na computer na iyo program..... vilevile huwezi rusha nyimbo kupitia bluetooth kwa mtu wa android mwenye iphone mwenzio sana tu.... machache nayoyajua
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
2.2MUlinunua shingapi iphone yako?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ukitaka simu ya kukutawala nunua Iphone....ukitaka simu ya kuitawala nunua Android.!
app kama ipi mkuu..Kuna app unadownload nyimbo na kusikiliza free kama android.
Mambo ya kutumiana nyimbo kupitia Bluetooth ni mambo ya kizamani.
ITV, Millard ayo zipoKwa apps zetu za kibongo hakuna inayouzwa kwenye iphone store,watu tunatumia jf,fb,insta,badoo etc hizo ni free bado kwa games apple kuna games kali balaa. Kwa storage ni wewe iko ya gb 16 mpaka ya gb256
Kuna app unadownload nyimbo na kusikiliza free kama android.
Mambo ya kutumiana nyimbo kupitia Bluetooth ni mambo ya kizamani.
Nilikuwa tayari nimeanda hela kwa ajiri ya iPhone 6 ila nimefuatilia hii maada kiukweli nimeahilisha sinunui iPhone tena nanunua kitu Samsung au huaweiKibongo bongo nunua samsung maana unataka cmu upigie picha ubadilishe muonekano unaokuvutia kila wakat (customization)..
Ila kwa wazungu iphone kwanza ina safety ya privacy sana pia speed ya iphone huwez compare na misimu ya android...
In case of customization, free apps, cheap handset kwny manunuzi go to samsung
Ila kwa privacy, speed + heshima go to iphone
Post sent using JamiiForums mobile app
kati ya hapo mi nakushauri samsung A8Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
😂😂😂Nilikuwa na iphone6 s plus ....nlichoka kutawaliwa jamaan.....achana na iOS