Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
8,473
Reaction score
15,144
Merry Christmas and happy coming new year 2026
Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
 
Hizi simu zinakaribiana sana kiuwezo, ni wewe tu kuangalia preference zako
Samsung S25 FE itakupa long software support, USB C 3.2, Samsung DeX, 3x optical zoom na better front cameras

Xiaomi 15T itakupa slightly better screen, slightly better chipset, better battery life, better main camera, slightly faster memory na faster charging speed

Overall Samsung S25 FE imebalance zaidi, halafu Xiaomi 15T ni excellent kwenye some aspects

You can also consider Xiaomi 15T Pro ans Samsung Galaxy S25
 
Merry Christmas and happy coming new year 2026
Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
Utofauti mkubwa wa hizo simu ni perfomance na ukaaji chaji.

15T itakaa na chaji zaidi ila perfomance itakua ndogo especially kwenye single threaded programs, S25FE soc ni flagship level perfomance kubwa huku ikitumia umeme mwingi zaidi.

Angalia pia na warranty, Warranty ya Samsung huku kwetu ni nzuri sana, kama unaipata yenyewe toka Samsung Africa ina maana utakua na Amani atleast mwaka mmoja hata ukivunja kioo.
 
Back
Top Bottom