Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.