shinji majige
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 560
- 214
hata mm napenda sana tumia iphone aiseeee
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.
Hahahaha wanakuvurugaaYani Mnavyo Zitaja Izi Million Million Naith Kichwa Changu Kinaniuma Ngoja Nisepe Mie
A8{2017)Kati ya Samsung Galaxy J7 prime plus (2017) Samsung Galaxy A8(2017) Ipi simu nzuri apo wadau
Walai Kichwa Kilikuwa Kikiniuma AitheeeHahahaha wanakuvurugaa
Post sent using JamiiForums mobile app
Karibu katika Dunia ya a8. Ila hapa nilipo hata Kava nimekosa kariakoo. Ndo raha ya kuwa na kitu pekeyakoHizi A 8 kaka nimeona kama zipo chache vile madukani na bei yake sio ya mchezo nikahisi wanataka kunifanya mi wakuja mjini, na ile one plus 5 niliikosa mkuu naona bado hazijafika. Kikubwa napenda kununua simu latest version unakaa nayo hata miaka miwili bado inakua fresh unasahau hadi maduka ya simu
Kivipi ulichokakutawaliwa Mkuu..?? Ninampango wa kuinunua hiyo iPhone 6s plus, Naomba kujua nn ulikichoka samahan sana kwa usumbufu..Nilikuwa na iphone6 s plus ....nlichoka kutawaliwa jamaan.....achana na iOS
Zikoje hizowewe achana na hizo simu za ajabuajabu.....tafuta Huawei p9 au 10....kula utawala......
1- Kweli na pia sio kweli. AirDrop
2- Kuna Apps kibao zina download hizo video km vile app inaitwa Document na ipo App Store
3-Home screen unaweka picha yoyote ile utakayotaka. Wallpaper na pia kuna still wallpaper au live wallpaper unachagua mwenyewe
4-Storage zinajaa labda kama kwako unategemea kuweka full movies tuu kujaza simu na hauna data nyingine.
5- Sio apps zote ni za kulipia pia kumbuka ata Play Store zipo za kulipia na ukitaka za kulipia kwa bure pia iPhone kuna njia ya kuzipata.
Mwisho nimehisi vingi umeambiwa tuu kwa kukaririshwa na hujawahi kutumia iPhone (iOs) kabisa. Kama ulitumia basi ulikuwa hujui kuitumia na ulitaka itumia kwa mazoea.
Huyo Jamaa naona atakuwa anashindana na technology. Nafikiri kila toleo la cm ananunua.Mkuu wananiambia eti iphone 6 ni outdated japo mm naipenda sana
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...Kivipi ulichokakutawaliwa Mkuu..?? Ninampango wa kuinunua hiyo iPhone 6s plus, Naomba kujua nn ulikichoka samahan sana kwa usumbufu..

Mizik ad kwenye computer na computer iwe na itune #....chukua sumsung s8 mkuu iko poa sanaKivipi ulichokakutawaliwa Mkuu..?? Ninampango wa kuinunua hiyo iPhone 6s plus, Naomba kujua nn ulikichoka samahan sana kwa usumbufu..
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Ila nimeshangaa unai dis iPhone na hiyo sijui simu gani unatumia maana post moja jinsi inavyokusumbua mpaka umeituma mara tatu mkuu dah..!!Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...
Post sent using JamiiForums mobile app