Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Haswaaa,.anajaza tuu ulimwengu huu....atawamalizia nafasi Ohoo
Heheh!!

Mwambie sio vizuri hivyo apunguze kidogo bwana.... Ila popote alipo mfikishie salamu zangu za dhati kabisa mwambie nimemkumbuka sana
 
We ni baba wa aina gani unashindwa kuchukua maamuzi yako mwenyewe mpaka uje mtandaoni kupewa ushauri...??
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Muue. Ahaaa haaaa joking haya mambo hayahitaji hasira kuwa mpole weka mtego utawadaka tuu.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Kama upo chini ya miaka 45 na unafanyiwa hayo, acha ufanyiwe tu hakuna namna. Hivi unashindwa kumleta jamaa kwako yeye na Mke wako ukawapa kichapo wakatajana??, mi niliwahi kufanya hivo mwaka juzi, Mke Wangu na jamaa walikuwa wanafanya kazi ofisi moja. Nilitumia mbinu za kumleta jamaa nyumbani kwangu, nilichomfanya atawasimuliaga na wajukuu Zake.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
hahaa unamegewa mke wako na unaweza pokea na kichapo juu
 
Winda demu wake nawewe mtongozee au muwinde dada yake umtongoze mkeo ukimwona kamkubali ndio huko.
unamla naye wake unaongeza dada ake juu
 
Wanawake huwa hawashindwi kitu na kumchunga haisaidii

Nilikuwa natoka dodoma kwenda singida na mdada mmoja aliyeumbika balaa tumekaa siti moja ktk Basi.

Akaniambia kuwa anaenda kumsalimia mumewe aliyeko huko kikazi.na kiukweli nilimuonea wivu mshikaji maana sio kwa uzuri ule

Tulipofika maeneo ya kambi ya wakoma ktk kilima gari ikashindwa kupanda ikabidi abiria tushuke tutembee kwa miguu wakati gar inapanda yenyewe

Mrembo akachoka akaniomba nimshike mkono.

Tulivyofika singida akanipa contacts halafu akanipigia baada ya sa akanielekeza hotel aliyopo na mumewe akanipa maelekezo kuwa nichukue chumba cha pili baada ya chao.
Basi jamaa akienda kazin demu anahamia kwangu namgonga hadi saa Tisa anarudi rumu kwake mumewe alikuwa anarud sa 10

Siku anarudi domu na mm nikawa nimemaliza shughuli tukarudi wote!
Duuu aiseee !!!
 
Sio kweli.hata ukiangalia wanaoishi maisha marefu hawana wake
Aisee! Pole tena. Kauli zako zinaonyesha namna ambavyo ndoa imekufanya uwe stressed. Ama kweli si kila king'aacho ni dhahabu
 
aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Kaka kwani wewe ndio unaweka roho usiwe na maamuzi yasiyo kuwa na tija kama umeshikwa na wasiwasi na jamaa na kidini ni dhambi kuwa na dhana basi hama tu hapo ili ukaye na amani na uwache kuwa na maamuzi ya kishetani ya kutoa watu roho
 
Kula wife za watu ndio kazi yetu sisi mabachelor.Tayari sha tafuna wanane halafu wapumbavu mlio oa mna niambia nioe!
 
Poleni sana mliooa kwa mihemko! Yaan nioe mimi alafu mke anikoseshe amani??? Mwanamke anaeishi nyumbani kwangu mimi tena ambae tumekutana nae ukubwani anifanye niwe wa kwanza kwenda bar saa moja asbh????? Huo ni udhaifu mkubwa sana na inaonesha nyie ndo mnakaa na kuhudumiwa na mwanamke! Mwanaume unashindwa kuwa na maamuzi!!!! Shame on u
bwanamdogo na wewe utaoa hii mitihani omba sana Mungu akuepusha nayo
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom