love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa hapo wengine ndo hujiaminisha kuwa walomtongoza awamu hii atakuwa amewakubaliaSure huwa inatia kiburi sana moyoni kua umechagua chuma pia inafariji kua umepata mtu muaminifu ...
ila sasa mbaya ni pale unapokubali hii kitu alafu unapita muda mrefu bila kukuhadithia tena kuhusu kutongozwa. Hapo ndio utabaki na 21 questions kama 50 cent