Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.

Huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza mke wangu.

Japo mke wangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza mke wangu na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Mkeo keshakolea,otherwise angekwambia
 
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiri
Mkuu kama una uhakika anamtongoza mkeo, muulize na umkanye mkeo kama hutaki kuachananae usitake kujua kama kaliwa au la, pia huyo jamaa Mjulishe kua unajua anachofanya na mkeo na umtishe kua kitakachomkuta kama ataendelea atajua mwenyewe,
Kuna mmoja alkua akimsumbua wife nilimpiga mikwara hadi kahama kwao kaenda kukaa shamba.
 
Nimekaa na wife akanieleza ni kweli jamaa alimtongoza lakini hakukubali na akawa tayari kama nitakubali tuweke mtego kwa kumtumia yeye ili nimkamate nikaona haina maana nikapotezea.
Unaweza weka mtego ukakosea timing ukakuta pichu iko magotini na papuchi ishalowanishwa na kesharutubishwa. Kuna vitu inaitwa impossible attempts
 
Back
Top Bottom