Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

we hama apo...ugomv bila ushahid wa uhakika c kitu njema!
 
Hama hiyo nyumba au mkabidhi mkeo. Maana tayari mke keshapakwa mafuta hivyo.
 
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiri
Hama hapo acha kujiumiza na stress.

Kakae nyumba ya peke yako. Mke lazima aliwe muhimu usihisi wala usijue.
 
Braza
Acha kuishi kwa hisia utaishia kubaya zaidi leta wazo la maana si hili hivyo vyanzo vyako achana navyo mkeo ni safi ila wewe fake!
 
Jengaa nyumbaa acha kupangaaa,we unapanga nyumba yenye single boys alafu mkeo mama wa nyumbani unategemeaann??tena ukute mkeo ndo alimtaka
Na dogo anapewa menyu na anafuliwa nguo kwa gharama za mume.
 
Nyie wanaume wa humu, kinachoshangaza ni nini? Mnadhani mkishaoa mnazuia wasitongozwe na wengine? Omba mke ajitambue. Atambue thamani yake. Kutongozwa sio dhambi wapendwa. Ni lazima kila anayemtongoza akwambie? Anyway, ongea na mkeo kwa namna ambayo si ya kumshutumu wala kumtuhumu ( in a friendly way)
Good
 
Baba Mwanaidi...
Pole brother.. Lakini nakusihi hili jambo tumia busara.. Pia usifanye mtego wowote mana kama kweli jamaa anakugongea mkeo itakuwa aibu kwako.. Lamsingi kaa na mama mwanaidi kama kuna viashiria umebaini muweke wazi na umuonye.. Zaidi ya yote jitahidi kutafuta PESA ujenge kwako na jingine muhimu usirembe kwenye kupiga pumbu... Tomb.... A kisawasawa kila siku kama ndio unamtoa bikra Mama mwanaidi leo.. Hao viumbe hutakiwi kuwaonea huruma ktk Huduma hiii. Lasivyo akikutana na msela ataliwa kila siku..
 
Well naweza nikawa nmechelewa ila niivi

Ukumbuke wanawake ni wengu wa huruma na huishi kwa hisia ..........Ivo ugonv wowote kati yako na jama utamfanya km alikua hana mpango naye sasa ampe k .

Pili , usiongee maneno mengu sanaa, Amin nakuambia wanawake hupendwa kuadhibuwa kwa kipigo kuliko kumtesa akili...sasa basi ufanye nn??

Sababu unauhakika anamtongoza mkeo ,lkn huna uhakika km ameshamtomba ,, Inabidi uue ndege wawili kwa wakati mmoja.

"Mkalize chini mkeo , mwambie Kua Mchezo "Unaoendelea umeshaufahamu Yakwamba Mwisho wa Ubaya ni Aibu" .

Usiongeze neno lolote .Alafu sasa anza kufatilia chinichin,kwasababu utakua umechokonoa, Watajikuta wanafanya mawasiliano yakasi sanaa KATI yao na usishangae jamaa atakua anaomba safar ya mwisho...kisha utafanya maamuzi.

Lkn katika yote hayo ,usikae kimya,na usichelewe,Kinyume nahapo km hajagongwa atagongwa tuuu

N.b ...Usimfate jamaa kwa magonvi wala usimtuhum mkeo kwa magonv maana ukifanya ivo alafu ikawa sio kweli ,, Ataliwa tuuu sasa.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Kaka kumfuatilia mwanamke ni ngumu kama kukamua kicheche, lazima ulale chini.maana wenzetu wana siri sana tofauti na sisi wanaume. Ina short mm nishakubali kumfuatilia mwanamke haiwezekani tu. Labda awe nyumbani sio mfanya kazi.coz mwanamke mke wa mtu anakwambia kabisa nakuja nina nusu saa ama saa moja tu. Either mda wa chai ama lunch. Anagongwa anarudi kazini. Nakupa namba ya mtaalam ila mkasi wake sio wa kitoto ni laki nne. Nakwambia hakatizi akipanua paja tu keisha. Lazima umkute readhanded. Piga hiyo namba sema shida yako 0686 242 483
 
mke anauma sana,,,,,,ila ninakushangaa....eti naweza toa mtu roho....mkeo amebakwa??? fanya utafiti wa kina....jua nini kinaendelea na thibitisha.....chukua mwanao songa mbele....ujifunze sio kila mwanamke wa kuoa....pole mkuuu....na siku hizi hakuna viroba...moto X 1=........
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
mteke ukiwa na mijaa miwili isiyojulikana then mkanye kwa ukali huku ukimpiga piga panga mgongoni. akirudia fukuza mke
 
Back
Top Bottom