Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Mfumanie upate ushahidi halafu mwachie mke wewe tafuta mwingine.
 
Wewe zubaa hapo hapo, mkeo akishapigwa kivuzi lete mrejesho humu kwa msaada zaidi.
 
Badala udeal na mkeo, unatafuta ushahidi, sijui ushahidi gani wakati CCTV cameras zako unasema zishathibitisha
 
Back
Top Bottom