Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

wanawake kutongozwa ndio kazi yao, kama kuroga kwa waafrika, kila siku.
 
mchepuko ninao
Basu kama mchepuko unao muache nae achepuke. Unadhani yeye hajui kuwa una mchepuko. Bahati mbaya huu ni ubnafsi na mfumo dume wa sisi wanaume. Ushari wangu wa awali ulikuwa muhimu kama huna mchepuko au umeumizwa kiasi hitamani tena mchepuko. Kwa hali ilivyo tusubiri nani atakuwa wa kwanza kuleta faida "ukimwi" nyumbni. Bahati mbaya mumetiwa upofu hata hamuangalii maisha ya mtoto wenu mwanaidi.
 
Basu kama mchepuko unao muache nae achepuke. Unadhani yeye hajui kuwa una mchepuko. Bahati mbaya huu ni ubnafsi na mfumo dume wa sisi wanaume. Ushari wangu wa awali ulikuwa muhimu kama huna mchepuko au umeumizwa kiasi hitamani tena mchepuko. Kwa hali ilivyo tusubiri nani atakuwa wa kwanza kuleta faida "ukimwi" nyumbni. Bahati mbaya mumetiwa upofu hata hamuangalii maisha ya mtoto wenu mwanaidi.
mkuu tuseme nilikuwa nao lakini haikuwa siriaz kiasi kwamba kwa sasa ni kama nimesitisha mawasiliano ili niweze kushughulikia hili suala. kwahiyo sina mchepuko kwa sasa.
 
Fanya utafiti, ukigundua tu kinachoendelea. Mchane makavu na ukiwa na ushahidi pia ikiwezekana mtandike.
Wife pia mpe kichapo baada ya kuhakiki.

Sina utani japo sijaoa ila uchungu wa mke unauma.
Haina haja ya kupigana kwa sababu ya mwanamke istoshe hakuna mwanamke katongozwa na kaachia papuchi mwenyewe . Dunia imejaa wnawake wengi usikate panga mwanaume mwenzio kwa sababu katembea na mkeo au demu wako .chakufanya mpige chini demu/ mkanye asifanye tena hivyo
 
Jengaa nyumbaa acha kupangaaa,we unapanga nyumba yenye single boys alafu mkeo mama wa nyumbani unategemeaann??tena ukute mkeo ndo alimtaka
Kujenga ndo suluhisho la Malaya kutoka nje ya ndoa? Waliojenga wote wake zao hawavuliwi chupi nje?

Unadhani kujenga ni suala la kukurupuka?
 
Hilo ni jambo la kushukuru sana...kwa sababu inaonesha ni jinsi gani mkeo ni mzuri na anavutia.
 
Kanunua dawa ya tego ktk papuchi ya wife
Lazma ukute vikojoleo vimeng'ang'aniana
 
Hapa sshv niko baa.jana usiku niliwahi kulala!lakini usiku wa manane nikaamshwa na makelele ya wife kwamba naota niko na madem wangu!matusi huku mi nna wenge la usingizi sijui niliota nini hadi yeye ahisi kweli ndotoni nilikuwa na dem mwingine!kanirusha stimu kinoma ikabid saa 12 asubuhi niamke kitandani niingie bar na kula munde tu

Mkuu kumbuka kesho kazi, hii mim ilinitokea last week, saa moja asubuh nko njiani kutafuta bar ya kupunguza stress. Aisee I had 450 in my pocket ila mpaka sasa sina hata ya kupiga mwendokasi. Hawa viumbe ni hatari sana, kama hujaoa usikubali kuukwaa huu mtego. Huwezi jua raha ya kuwa bachelor mpaka ukioa
 
Wanawake huwa hawashindwi kitu na kumchunga haisaidii

Nilikuwa natoka dodoma kwenda singida na mdada mmoja aliyeumbika balaa tumekaa siti moja ktk Basi.

Akaniambia kuwa anaenda kumsalimia mumewe aliyeko huko kikazi.na kiukweli nilimuonea wivu mshikaji maana sio kwa uzuri ule

Tulipofika maeneo ya kambi ya wakoma ktk kilima gari ikashindwa kupanda ikabidi abiria tushuke tutembee kwa miguu wakati gar inapanda yenyewe

Mrembo akachoka akaniomba nimshike mkono.

Tulivyofika singida akanipa contacts halafu akanipigia baada ya sa akanielekeza hotel aliyopo na mumewe akanipa maelekezo kuwa nichukue chumba cha pili baada ya chao.
Basi jamaa akienda kazin demu anahamia kwangu namgonga hadi saa Tisa anarudi rumu kwake mumewe alikuwa anarud sa 10

Siku anarudi domu na mm nikawa nimemaliza shughuli tukarudi wote!
 
Duu!! Kweli wanaume tumebaki wachache jamani!!!!, yaani umethibitisha kabisa Jilani anamtongoza Mke wako na bado unapata muda Wa kuja jamii forum kutafuta ushauri???? Umetuaibisha sana ndugu yangu.

Cha kukwambia ni kwamba Fanya maamuzi ya kiume kama wewe ni mwanaume uliyekamilika.
 
aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Dah...safi sana....ila ukiwa lupango....mamake mwanaidi ataliwa hadi 0713 ...utajuta sana.....ukitoka huko baada ya miaka 30 sijui utamkuta mwanaidi yukoje....dah
 
Unakaa 2 in 1 afu una mke majaribu umeyataka mwenyewe.na mvua hizi jamaa anavunga anaumwa hatoki ndani wewe asubuhi na mapema unaamkia job .Mzee baba sikia mpe makavu mkeo kama mbwai mbwai tu
 
Hivi inakuaje mke wa mtu anatongozwa na kukubali?..hapa mkeo ndo mwenye matatizo,huyo mwana we mteme, deal na mkeo.
 
Mchukue jamaa muendee bar ya jirani mkiwa bia ya 9 na konyagi kubwa ikifika nusu ndiyo uanze mahojiano na umpe onyo, baada ya hapo kaongee na mkeo wakati unamalizia konyagi nusu iliyobakia alafu kikao kimalizike kwa sebene moja matata sana.
 
Back
Top Bottom