Deal na mkeo aisee, muulize vizur, akikataa kukuambia ukweli, utafahamu tu, maana kama wameshaanza hawawezi kuacha mpka kitu kifanyike cha kushtua watu, endelea kudeal na simu yake tu, imiliki muda flan hivi lazima utafaham kwamba kuna kitu.
Kikubwa, mjifunze kuwa na hofu ya Mungu bhana, fundisha mkeo kuwa na hofu ya Mungu, hayo mambo hayatakuwepo, otterwise tutaingia matatizon...unaona sasa unawaza kwamba ukipata ukweli anafanya utaua.....hyo sio solution.....Muombe Mungu, kama kweli upo ndani ya mapenzi ya kweli ya Mungu, mwambie Mungu mke wanngu hujanipa wa kudandiwa na watu zaid yangu, hakuna kitu kitatokea...tuaminini Mungu yupo na anaongea na watu.