Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,506
- 145,957
pale kuna nini la maana? hebu wakuu umizeni vichwa...nataka kitu yunik
Basi tafuta sehemu ya Chinese cuisine, Italian, au hata Mediterranean restaurant....
Au mpeleke kwenye seafood restaurant mkale lobster na crab legs