Mwezeshaji1
Senior Member
- Sep 26, 2023
- 165
- 369
Binafsi
Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
Itakua yupo kanisani tayari mchungaji kawauliza kama quiz na yeye kaamua atuulize Wakuu.🤣Nenda kanisani ushachelewa misa ya tatu.
Niko kwenye blanketi, hata hivyo jioni kuna ibada.Nenda kanisani ushachelewa misa ya tatu.
🤣 hutaki kusema na nafsi?Itakua yupo kanisani tayari mchungaji kawauliza kama quiz na yeye kaamua atuulize Wakuu.🤣
Naishauri vingi sana, lakini haitaki kutulia Wala kuelewa,🤣 hutaki kusema na nafsi?
Amka uende kanisaniNiko kwenye blanketi, hata hivyo jioni kuna ibada.
Ishauri ukubari kuolewa umri unakimbia sana binti sayuniSina la kuishauri
Anasema yupo kwenye blanket huko Makete anapigwa na kiyoyozi cha bureItakua yupo kanisani tayari mchungaji kawauliza kama quiz na yeye kaamua atuulize Wakuu.🤣
Ipe hata pongeziSina la kuishauri
Naabudu mtandaoni, au haihesabiki (ila kuna Sunday naenda, itabidi nijiongeze)Amka uende kanisani
Ok.Ipe hata pongezi
Kwani mi nimekataa kuolewaIshauri ukubari kuolewa umri unakimbia sana binti sayuni
Unapishana nao kila sikuKwani mi nimekataa kuolewa
Hao waowaji wenyewe wako wapi?
WapiUnapishana nao kila siku
Mtandao ganiNaabudu mtandaoni, au haihesabiki (ila kuna Sunday naenda, itabidi nijiongeze)
Kila sehemuWapi
Haya.labda tutakutanaKila sehemu
Tutakutana kweli sisi sio milimaHaya.labda tutakutana