hasinaw
Member
- Jul 4, 2018
- 12
- 5
Mkana kwao mtumwa, believe me walahi!Asante sana serikali angalau tunatolea ushamba kwenye ndege yetu bana. Chako ni chako tu
Mkana kwao mtumwa, believe me walahi!Asante sana serikali angalau tunatolea ushamba kwenye ndege yetu bana. Chako ni chako tu
...kama walivyofanya mereraniNadhani wauzungushie ukuta tu kuuona kwa kiingilio tukuze mapato sio kuuona bure.
🤔🤒👏👏👏[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naipongeza awamu ya 5 kwa kutuletea mlima kilimanjaro kwene dirisha la ndege mpya ya kisasa
naona unapata taabu sanaSiku zote ulikua auonekani?
FISIEM ni FISIEM tu
Unazidi kuthibitisha ushamba wako!Kuwa na makao makuu yaliyochakaa pale ufipa ndio ujanja sio?
Ingekosaje abiria wakati nauli ni karibu sawa na za Dar Express busmakamanda mtapata tabu sana awamu hii, hapo mlitamani hiyo ndege ikose abiria ila kwa maelezo wako inaonekana abiria walikuwa wengi kwelikweli!
Acha upuuzi.Unazidi kuthibitisha ushamba wako!
Sasa ndiyo mmejua kuwa kodi zenu? Mbona mwanzo mlikuwa mnasema haziji? Pia mkawa wasaliti wa nchi yenu hadi mkapeleka docs kwa wadai wa ATCL?Lakini hii ndege ni pesa za watanzania sio ya vyama vya siasa! Kwa hiyo kama mtanzania kila mtu ana uhuru/wajibu wa kujua kinachojiri kwenye kodi zetu!
We naona akili yako mbovu, unadhani kila mtu ni Chadema, Pathetic!Sasa ndiyo mmejua kuwa kodi zenu? Mbona mwanzo mlikuwa mnasema haziji? Pia mkawa wasaliti wa nchi yenu hadi mkapeleka docs kwa wadai wa ATCL?
Mpumbavu wewe ndege siyo ya ATCL.Sasa ndiyo mmejua kuwa kodi zenu? Mbona mwanzo mlikuwa mnasema haziji? Pia mkawa wasaliti wa nchi yenu hadi mkapeleka docs kwa wadai wa ATCL?
Kwa nini nyie mnataka msifiwe kwa kila kitu na watu wote?Hamna ngozi ngumu ya kusikiliza na kuvumulia mawazo mbadala?Ulishaanza na fikra hasi kuhusu Dreamliner kwa hiyo sitegemei utabadilika. Weka hili bandiko mlangoni pale ufipa itafaa zaidi.