Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Siku zote ulikua auonekani?
FISIEM ni FISIEM tu
 
Naipongeza awamu ya 5 kwa kutuletea mlima kilimanjaro kwene dirisha la ndege mpya ya kisasa
Hahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahaahahhaahahaa utapata ukuu wa wilaya Mkuu shauri yako.
 
hii safari imekuwa maalum kwa Rubani kuuzunguka Mlima kama utaliii, ndege zingine zinapita tu.
Acha masihara. Kwa hiyo ktk kuuzunguka na ndege yenye spidi ya ku cruise km angalau 600 kwa saa, alienda geuzia kenya au mwanza ili kurudi kuuonyesha huo utalii? Au mlikuwa sloo mo?
Miususe of resouces kama ndio huu upuuzi mlinunua dreamline kwa ajili ya kazi hii. Sio kazi yake.
 
Last edited:

Ni furaha kubwa sana kuuona mlima Kilimanjaro ukiwa ndani ya ndege yetu mpya. Bila CCM mpya hili lisingewezekana.

Mlima umekuja wenyewe kwenye dirisha kupongeza juhudi za awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom