Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Mimi nikiamka asubuhi wakati napiga mswaki nauona live nikiwa pale holili
 
Dreamliner ingekuwa imebeba abiria kutoka Mataifa ya nje ya Tanzania kwa asilimia kubwa, tungebahatika kurusha matangazo bure kabisa na kusubiria Wageni wengine wa kupandaHapa Kazi Tu- Dreamliner.
 
Last edited:
Ina maana wanaopanda huo mrima hawauoni? Na hao wachaga ambao wako hapo siku zote hawauoni? Mungu akuhurumie tu kwakweli.
 
Kuna kosa kubwa la kitaalamu lilifanyika hapo.
Abiria walikuwa wote wanaenda upande mmoja wa ndege, hiyo inaathiri centre of gravity ya uzito wa ndege, ni hatari sana.
Next time waambiwe wengine wavumilie kukaa upande wao tu ipo siku watakuwa upande sahihi watauona huo mlima.

Siku nyingine waambiwe hilo sio basi linalotembea ardhini wasichezee maisha yao.
 
huu mlima huwa nauona nikipanda precision,fast jet mara kwa mara
naona sasa mnaanza kutia aibu kwa ushamba wenu wakolomije!!!!!
 
Mbona hata ndege zingine unaonekanaga? Ushamba mzigo.
Hawa jamaa bwana!! Yaani sioni cha ajabu hapa. Tunajidhalimisha kwa vitu vya kawaida sana. Wana taka kutuaminisha kwamba ndege yetu tuu ndiyo imepita juu ya kilele cha Kilimanjaro
 
Siku nyingine huo mlima ikiwezekana uwekwe kabisa kwenye ndege ili abiria wauone vizuri tena ikiwezekana na kuupanda pia.

mnaleta ujinga hadi kwenye biashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom