Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

Mwongo...picha imechukuliwa toka ndege yenye injini mbili kila bawa wakati ndege unayosema ina injini moja kila bawa
Hizo siyo engine kaka, hizo ni Flap track fairing zinazo control spoilers za kwenye mabawa! engine hazionekani hapo!
 
Ndege hii haikuhusu wewe ulisema haitakuja imekuja tena unaanza kuifuatilia kama nini fanyakazi ya kuokoa chama chako kinachoendelea kuzama kila siku!!
Lakini hii ndege ni pesa za watanzania sio ya vyama vya siasa! Kwa hiyo kama mtanzania kila mtu ana uhuru/wajibu wa kujua kinachojiri kwenye kodi zetu!
 
Back
Top Bottom