G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,416
- 39,522
Sasa wapagawe kwani iliwapelekea chakula?unasumbuliwa na ushamba, kupagawa siyo kushangaa , unaweza kupagawa kwa furaha.
Sasa wapagawe kwani iliwapelekea chakula?unasumbuliwa na ushamba, kupagawa siyo kushangaa , unaweza kupagawa kwa furaha.
Magufuli aliwadanganya acacia wanatoa trilioni 400+ mkashangilia sana, leo hii hata tsh 1 hamjapewa,Asiye mkubali JPM akapimwe akili
Mshamba ni yule aliyejaza umati airport kupokea ndege moja na yule aliyeingia na kibendera cha CCM ndani ya ndege! Lindege limewekwa kinafikinafikii kila mahali!unasumbuliwa na ushamba, kupagawa siyo kushangaa , unaweza kupagawa kwa furaha.
Sungura ni mjanja na kama wewe unajiita sungura halafu unawaza hivi afadhali ungejiita Engoko. Period!wivu wa maendeleo anaypyafanya JPM utawaua nyie BAVICHA
Zipi hizo?!
!
Vipi Wanaosafiri Na Ndege Nyingine Hawauoni Milima?