Usha flirt naye sana

Usha flirt naye sana

Nimekupata.... Almost every body is perfect katika PMs na Posts.... thou kuna vitabia hua vyaweza sip with time. But kama ulivosema kama you are serious it is better you do not flirt...... Kumsoma ni rahisi zaidi.

Kweli dearest, watu hapa wako almost perfect,na ninajua mwanaume mwenye nia nzuri,haonyeshi kwenye post na PM,atapenda na kusisitiza kuonana,nami nitasubiri kumuona na kuzungumza nae face to face....why flirt to extremes with a man i want to build a relationship with through posts and PM's??? It doesn't worth it!
 
we dada angu we acha tu!sikupiga show kabisa kabisa ila vyombo vya muziki tulityuni na kila kitu hadi mwenzangu aka-rehersal na wimbo mmoja kabisa!ila akili yangu ikakaa sawa kwa sekunde chache nikajisachi sina shin guard,nika-postpone zoezi mpaka kesho yake!naona aibu mno kukutana nae tena na naepuka kila uwezekano wa kukutana.yaani mpaka mama mdogo nafikiri alishtuka tulivojishtukia wakati wa utambulisho!!
pole sana... sipati picha yani...duh!
 
Yaani kama sisi, kanisani, tukitoka home..baaaas.:A S-coffee:

He he he, thats the best...kwanza hapo najua nina mtu anayempenda Mungu(thats No 1 to me), then anampa Mungu muda na anaabudu....nitake nini zaidi? uzuri wa sura/mwili na hela hauna thamani ya mwanamme anayempenda Mungu na mwenye imani.
Kaizer, ukiacha kunipitia tu jumapili,unanipoteza....!:nerd:
 
Mi nilijua mkisha flirt ndio inaleta hamu ya kuonana in person lol
 
He he he, thats the best...kwanza hapo najua nina mtu anayempenda Mungu(thats No 1 to me), then anampa Mungu muda na anaabudu....nitake nini zaidi? uzuri wa sura/mwili na hela hauna thamani ya mwanamme anayempenda Mungu na mwenye imani.
Kaizer, ukiacha kunipitia tu jumapili,unanipoteza....!:nerd:

Awesome....kusema kweli njia ile iendayo kwa baba ni nyembamba so ukimpata mtu mnaweza kumkumbuka Mungu thats the best (achana na wale wanaosema hakuna Mungu,,ni wapumbavu tu)

So nitakupitia kama kawaida Michelle
 
Kaizer,

Bora wadada wamefunguka mapema, daima nitakuwa mtiifu ku flirt kwangu ni mwiko :lol::lol:
 
Sio kumkumbuka Mungu,Mungu anakuwa sehemu muhimu ya mahusiano yenu na kila mlifanyalo,Mungu ndiye kiongozi na lolote linalowezekana kuepukika kufanyika lisilompendeza halifanyiki.....lol

Nitakusubiri Kaizer kama kawaida! Thanks oooohhh!
 
Kaizer,

Bora wadada wamefunguka mapema, daima nitakuwa mtiifu ku flirt kwangu ni mwiko :lol::lol:

you have learned your lesson Son. You know how to pedal (hebu cheki signature ya mwali aisee inanikosha sana). Hivi vitu unaweza kuarrive kwenye jibu lile lile kwa kutumia njia tofauti. toooop.
 
Sio kumkumbuka Mungu,Mungu anakuwa sehemu muhimu ya mahusiano yenu na kila mlifanyalo,Mungu ndiye kiongozi na lolote linalowezekana kuepukika kufanyika lisilompendeza halifanyiki.....lol

Nitakusubiri Kaizer kama kawaida! Thanks oooohhh!

Ndo halitafanyika kwa sababu by the time tunamkumbuka Mungu....wakati wa ujana wetu....si ndio eeh...lol
 
Hapa kanuni inageuka mkuu, badala ya E=MC[SUP]2[/SUP] inakuwa MC[SUP]2[/SUP]=E.

Lol, ku-flirt tunakoongelea kwa mtazamo wangu ni kule kulikozidi, yaani hata details za ndani kabisa mnapeana PM as if mmeoana....!

Kaizer,

Bora wadada wamefunguka mapema, daima nitakuwa mtiifu ku flirt kwangu ni mwiko :lol::lol:
Lol, washakusoma mkuu....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom