Usha flirt naye sana

AshaDii omba scenario mojawapo kati ya hizo isikukute
Yaani pale unapoomba ardhi ifunguke na kukufunika na haifanyi hivyo

Haya mambo haya hayataki kukurupuka.... Alafu there is another thing... Kama you are good friends tayari na msha share cyber sex... Why not go on enjoying na kuridhika kutojuana ama kuonana? Haya mambo yako really risky na mimi naamini wengi ni wazuri kwa sex ya namna hio alafu kiuhalisi msi blend. Katika hizo scenarious labda namba 5 kiduchu! lol
 
huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol

Khaaa! Familia yenu kiboko! lol... How did you feel?
 
huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
Hahahah...:lol::lol::lol: lol...kumbe ulianza zamani?
 
Khaaa! Familia yenu kiboko! lol... How did you feel?

nimekwambia hajui kitu hadi leo
halafu haikuwa flirt sana
more like kufahamiana
so aliponipa namba ili nimtafute tufahamiane zaidi
kumbe its her...
 
Wana Jamvi,

Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.

Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Dah utafanyaje mwana MMU?

mpaka mnaamua kukutana hamjaambiana majina tu?
 
Nahisi mtakapopeana namba za simu tayari utakuwa umeshajua ni nani, hapo suala la kuonana halitakuwepo tena! Ikitokea tumeonana basi itabidi kuwa mpole tu!
 
kwani hapo mlipokutana ni ofisini???unakunjua uso kwa furaha kesho yake ofisini uso wa mbuzi kama kawa
 
Nahisi mtakapopeana namba za simu tayari utakuwa umeshajua ni nani, hapo suala la kuonana halitakuwepo tena! Ikitokea tumeonana basi itabidi kuwa mpole tu!

Mmebadilishana BBM PIN na yeye hajaweka picha yake...
 
nimekwambia hajui kitu hadi leo
halafu haikuwa flirt sana
more like kufahamiana
so aliponipa namba ili nimtafute tufahamiane zaidi
kumbe its her...

Isije ikawa wajitetea tu hapa....lol
kama kweli, Lucky You. else.... Dah!
 
Wana Jamvi,

Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.

Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Dah utafanyaje mwana MMU?
Dah!
Eee mungu epushia mbali maaana........!
 
Mimi kwa mtazamo wangu sio embarrassing kivile.... Tatizo huja hapa.

  1. Wewe ni kijana alafu kumbe huyo mhusika age sawa na mamako.
  2. Wewe ni mdada/mwanamke alafu kijana mwenyewe ni 19/20 hivi.
  3. Mnafahamiana kabisa to the extent kila mmoja ajua hadi mke/mmeo na wote hua mnapotray ni wastaarabu.
  4. Ni ndugu yako kabisa wa damu.... Gosh!
  5. Ulivokua unategemea alivo sivo. mfano if you thot yupo kama Denzel Washington unakutana na the opposite! lol

WHAAAAAAAAAAAAAT!!!!!............God forbid oohh!
 
huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
Teh sasa nani kachemka kati yenu?
Kwa hapa inabidi pawepo na mahusiano matatu
1.Ya JF ambayo ni ya kuropoka,kujiachia na kujimwaga waaaaaa
2.Ya ofisini -kuwa serious sana,ustaarabu 100% na busara kibao
3.Nje ya Ofisi na Nje ya JF-Full mahaba na malovedove and care za kutosha
 
mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
 
Ntamwambia ya JF yaishie JF hapa kazi tuu.

Na ntamchimba biti asimwambie yeyote kuwa tumegongana JF.

Halafu uso wa mbuzi unaendelea kama kawa.
images

kwa uso wa mbuzi huu utamuogopesha mwenzako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom