Usha flirt naye sana

Jf,bana ndo maana nimegoma kuondoka humu,kwa haya mautamu,Mx
 
Huo ndio mpango mzima mbona tangu mwanzo?:A S-coffee:

Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa...........sikuwa nimewaza zaidi Kaizer.....unalo!

Ninatambua hilo,ila tu tulikubaliana unipitie home twende wote kanisani,naona italeta tabu...ndo maana nikasema tukutane church!
 

Dearest, me wish the best...nakupongeza tu kwa uwezo wako wa kuondoa ujeuri wangu....anagekua mtu mwingine tungepambana kweli...ila wewe nimesalimu amri na itabaki kuwa hivyo...siwezi kukuudhi manake zile siku ngumu sana kwenye maisha yangu,nikikuita una- lift spirit yangu mpaka angani in a very genuine tone....Michelle LOVES, respects you and appreciates the trust you have for her...She trusts you tooo.....never dissapoints.....! Cantalisia yuko wapi jamani.....lol
 
embu watu rudini na ID zenu za Darhotwire,

PapaK kasharudi, wengine vipi??, hakika inawezekana watu wengi tunafahamiana humu, basi tu

Hahahaha
Umenikumbusha mbali sana Dar Hot wire
Ila hata DHW nilikuwa natumia ID hii hii
PapaaK sijamnasa aise maana tulikuwa na kuonana nae nishaonana nae ngoja nimtafute humu
 
Hahahaha
Umenikumbusha mbali sana Dar Hot wire
Ila hata DHW nilikuwa natumia ID hii hii
PapaaK sijamnasa aise maana tulikuwa na kuonana nae nishaonana nae ngoja nimtafute humu

Duh! DHW
Unanikumbusha mbali sana nilipokuwa chuoni
 



Pamoja saana Michelle, Pamoja saana Dear.... Hii post carries my own words thus the blue is reciprocated.... Nashangaa tu nae Sweetie kakimbia sijui, lol. Saizi nawaamini you can go on, or mood imevunjwa tayari?

Nakwambia Cantalisia ni mwoga huyo! lakini atarudie mwenyewe na kukusoma hapa....
 

Kweli mkuu ulikamatika
Yaani pale nadhani ardhi ingefunguka ingekuwa bora sana kwako
Ila siku nyingine ujifunze kuuliza na kudadisi vitu vidogo vidogo kabla ya kuanza mambo yale maana unaweza kukuta ni nyumba ndogo ya baba na wewe unajipeleka
 
Duh! DHW
Unanikumbusha mbali sana nilipokuwa chuoni

Same here mkuu
Hili jina nimelitumia muda mrefu sana na halijawahi nikatalia kila ninapolitumia kama user name
Ndo maana hata humu nikalitumia
Muda sana na ilikuwa na ukurasa wa Mapenzi na Mapendo duh unakutana na Dinnah na Mabel ni balaa
 
Mr Rocky,

Kule nilikuwa naingia ingia lakini zaidi Youngafrican, sijui ilikufa iile?
 
Usisahau siku zote adui yako ndo rafiki yako.

Na rafiki yako ni adui yako.

Hapo inabdi muaendelza uadui tu.
 
Unalianzisha then unachekelea tu hapo....ndo tabu ya kuwa na kitu kizuri, pole AshaDii

Michelle i like your avatar
sijui na wewe uu mrembo hivyo
Kuna mtu nataka kumuanzishia uzi hapa natunga tuu mashairi ila sijui yatapokelewa au yatatupwa kapuni niambulie matusi
 
Mr Rocky,

Kule nilikuwa naingia ingia lakini zaidi Youngafrican, sijui ilikufa iile?

Ilikufa bana
mambo ya picha za ajabu zilikuwa zinatumwa mle unakuta una email kibao za masuala machafu watu wakajiondoa
 


:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:




yaaaani Kaizer UMENICHEKESHA hadi machozi..... :lol: :lol: :lol:

yaani kicheko cha kutoka rohoni the way Umenifurahisha.... THANKS Love....
Nasikitika tu umetoa siri kua you now don't have access.....Lmao.... Dah!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…