Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu

Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,

Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile

Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺

Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹
Pole sana, kaza roho umwache
 
Njia nyepesi ya ku move on, fanya tafuta wanawake wengine hata wa tatu.

Date nao hakikisha mnachati sana wawe wanawake wasio na vizinga tafuta kama church lady au wasio na mambo mengi after few months lazima utakua ukimuwaza huyo ex huna hamu nae.
 
Asante kaka kwa ushauri mzuri, lakini mimi ni mtu ambae nikimpenda mtu nampenda kweli kweli sinaga uongo katika mapenzi, naogopa kuingia katika pombe pengine nikiingia huko naweza kuingia mazima 🥹
 
Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu

Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,

Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile

Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺

Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹
Move on
 
Ulikuwa huna wapenzi wa ziada uende huko,maana hii ya kumlilia mtu afu umekaa hapohapo unaonekana ndezi sasa.
 
Back
Top Bottom