Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,874
- 86,725
Tupu ni uchi, kwenye maandiko wameandika neno tupu hawawezi kumaanisha maku mzee! Maku ni ukeš¤Seran eti ni tupu au maku?
Tupu ni uchi, kwenye maandiko wameandika neno tupu hawawezi kumaanisha maku mzee! Maku ni ukeš¤Seran eti ni tupu au maku?
Ndio inaumiza unajua eehš„²Umeshasoma tayari Seranš
Shida inaanzia hapa!26yrs
Moyo mkuuš„¹Umeumia nini?
Macho au moyo???
Mkuu inasikitisha sana! Kwenye mapenzi nahisi watu wengi wanapitia huko kabla ya kuwa na moyo mgumu!Mimi sijaona mwanamke wa kuushitua moyo
Labdaa wao kwa Sasa ndioo Wana lalamika.
Kinadada mmoja akawa anasema ivii mbona siwezi kukuacha
Acha uboya bhana na wewe yaani dunia hii na wanawake wote hawa Bado unalialia kwa msaliti. Maisha haya ni mafupi Sana piga chini tafuta mwingine naye akizingua tafuta chuma kingine.Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,
Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile
Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake š„ŗ
Hakika Mapenzi yameniumiza sana š„¹
Huyo ni demu usibishane naeKuwa na wapenzi wengi wala sio ujanja kaka, uaminifu katika mapenzi ndio nguzo ya msingi, uwe na wapenzi wengi ili iweje kaka yangu
Huyu ni expert kwenye kusalitiwa, we usijali mtu anasalitiwa mpaka na mishangaziMkuu unacheka? Inasikitisha unajua! Au haujamsoma mleta mada?
Dunia Ina mambo hii, kulilia mwanamke mmoja ni kukosa MAARIFA.Mkuu inasikitisha sana! Kwenye mapenzi nahisi watu wengi wanapitia huko kabla ya kuwa na moyo mgumu!
Mshauri ajikeep busy tu, kwani hana hobbies? Hakuna haja ya kujiumiza hivi, juzi kati kuna dogo kajinyonga kisa mapenzi tu! Wanaume wapate exposure wasiwe wanyonge hivi!
Once you get hurt, u become strong!
Hadi karne hii mwanaume bado unalilia mapenzi??Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu