Wakuu ,ushauri wakusema aongeze wanawake nawambia hawezi kabsa niko hapa ,iko hivi kwa maelekzo yake ni mtu anaependa sehemu moja Kiasili hawana tabia ya kuchanganya ,tafakuri mkuu usije jichanganya juu ya hilo kwa utulivu wake atumie muda asome vitabu hivyo hapo niimeandik
Vitabu hivyo vitamuondolea udhaifu
Vitamfungua ajue afanye nn
Hauwezi shauri penzi la mwenzako hayafanani ukianza na unaetoa ushauri hauwezi fanana tabia za asili ,na hata anaetaka akautumie ushauri hafanani na kipimo cha wako
Maan unaweza sema weka wanawake wengi kumbe ,na mwanamke wake akasema namm nafanya nimkomoe huku wako aliacha na akatuliaa mpeni mbinu za kutatua shida yake sio ushauri wakuuu hilo nawaomba