Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

pole sana mama angu hapo ndio naamini kuwa umekuwa sasa maumivu ya mapenzi yanauma sana ila muda mwingine inakuwa ni lazima uumie ili muda mwingine usiumie tena.
 
Sina huo muda wa kupambana mkuu...kumwamini mtu kumbe ni ujinga.
Siku zote kua na mahusiano na mtu kwa zaidi ya miaka miwili jua kuna kitu nyuma ya pazia,
Ila pia unapaswa kujua 95% ya wanaume wana mpango wa kando, na anaweza kua anakupenda sana tuu lakini hilo halizuii kua na mwanamke wa pembeni.

Kuna kauli inasema,
"UKIONA UMEISHI NA MWENZA NDANI YA MIAKA KUMI HUJAWAHI KUMFUMA AU KUMKUTA NA VIASHIRIA VYA KUKUSALITI ILA UNAMHISI TU BILA USHAHIDI, JUA ANAKUPENDA HATAKI AKUUMIZE KWA HIYO ANAFANYA KWA SIRI KUBWA ILI USIJUE UUMIE"
Ila wako kafanya chumbani kwake akijua unaweza kuja na kumkuta lkn kajitoa ufahamu kua huwezi kwenda kwake. Pole kwa maswahibu yaliyokukuta.
 
Unapojikwa na jiwe linaweza kusababisha kidonda na maumivu makali lakini utakachokihitaji sio kurudi nyumbani na kuvumilia maumivu bali kumuona daktari na kukupatia dawa na kukipooza kidonda. Mwenzio anakula bata wewe umeamua kuwa mpweke wakati yeye ana mwenza mwengine, Hivi hujihisi kama atakuona kama loser flani hivi. Ataona kwenye ulimwengu huu yeye tu ndie aliekutaka lakini hakuna mwanaume mwengine anaekutaka ndio maana upo mpweke. Usiweke doge la moyo kwa kukukwaza bali shukuru kwa kupata muangaza baada ya miaka 5 bila ya kukuweka kama mke wa ndoa.
Sawa Mkuu kwenye mahusiano ndo nishatoka huko, hakuna ninachodai wala kudaiwa...BTW nishapona nipo cool kabisa.
 
Kibaaya ni kua

ubongo huchukua maumivu ya kuachwa sawa kabisa na maumivu unayoyapata pale unapojikwaa na kutoa kucha.

Mimi wanawake nawaangaliagaa tuu.
 
am too young to meet you, any way usiusemee moyo waweza kutana na akina STUNTER au THT ukasahau kama ulishawahi kutendwa. kubali kosa forgive and forget wako halisi anakusubiri somewhere akija tuu na kutangaza ndoa unachotakiwa omba Mungu.dunia hii usipofanya starehe ya ndoa utafanya ipi tena ? au miaka mitano imekukinai?
Best huyo wa miaka mitano kama hakuwa wangu basi hata wa karne moja hawezi kuwa wangu.Nina starehe nyingi tu za kufurahia na nitagundua nyingine nyingi tu ila siyo Ndoa.
 
Hivi ukikuta mwizi shambani kwako unamwachia shamba,anyway cha msingi jali afya yako dada asije kuletea HIV,homa ya INI na mengine
Mapenzi na shamba ni vitu viwili tofauti kabisa Bro...wacha abaki naye,,,,kuonekana mjinga mara moja kwenye maisha siyo mbaya.
 
Best huyo wa miaka mitano kama hakuwa wangu basi hata wa karne moja hawezi kuwa wangu.Nina starehe nyingi tu za kufurahia na nitagundua nyingine nyingi tu ila siyo Ndoa.
Usije kujiingiza kwenye mambo ya usagaji best angu,!!!!!! .kila la kheri katika maamuzi yako.
 
He dyudyu....acha utani hiyo haiepukiki...ni kama maji utayanywa au kuyakoga.
Karibu dyudyu...no strings attached
Kwani dildo hazisugui? tena unachukua ya size unayotaka na hizi za umeme unaweke temperature unayohitaji....hapo nitaitumia peke yangu kama nitahitaji lakini siyo huko kushea dushe kama duka la ushirika.
 
Kwanza...na kwakuwa umelileta jukwaani...kiasi flani nafsi yako itakuwa huru..... maisha yaendelee.......
Haka kamchezo ka mapenzi hakahitaji hasira......waweza ishia jela huku wenzako/mwenzako kama kawa....ni bora ulivyojinusurisha.....mumeo sio huyo uliyekuwa unamdhania....mungu atakuletea mwema kabisa dada angu..relax..
 
pole sana kwa yaliyokukuta misukosuko katika mahusiano ni kawaida

jivunze kusamehe na kusahau sio lazima mrudiane
siku zote chuki humuumiza zaidi anayechukia kuliko anaechukiwa
 
Back
Top Bottom