jerry wa somi
Member
- Mar 17, 2014
- 16
- 9
hahahaha hata wenzako walisemaga hivyo hivyo chezea mtaa wa mwanza nyegezi weweKwa kweli sasa hivi ata akija bwana siitaji mwanaume tena.
hahahaha hata wenzako walisemaga hivyo hivyo chezea mtaa wa mwanza nyegezi weweKwa kweli sasa hivi ata akija bwana siitaji mwanaume tena.
Usemacho ni kweli...Kwa jinsi nilivyochanganyikiwa, hata nikitaja jina langu litaonekana ni fiction...Namshukuru Muumba naendelea kurecover.kwa mbaaali naiona kama fiction story any way inaweza kua kwl probably.....ivo naipa 19% kuwa ni true imekutokea
Nadhani hiyo itakuwa kati ya muigiza tunayoambiwa.Haya kila la heri ukibadili msimamo wako rudi hapa uifahamishe kadamnasi ya JF, "Jamani hasira sasa zimepungua sana hivyo natangaza rasmi kurudi katika dimba la mahusiano kwa hiyo msishangae mkisikia MJUMBE WA AMANI kaamua kupenda tena."
mi nawashangaa wanawake ukiwatongoza asilimia 90 wanasema ooh nina mtu ukija kwa wanaume asilimia 80 watakwambia wako single saxa hawa wanawake wamebond na nani daaaahpole sana . wewe unatongozwa unajifanya nina mtu nina mtu.wake za watu wenyewe wanajiita masingle.sasa sijui utaanzaje tena .
ila marufuku kumtambulisha mpenzi au mchumba.ukitongozwa kubali tu huwezi jua ya kesho ,kusex na mtu sio lazima ukumbuke
Sema we kiaz nikisema mi muhogo nitaambiwa na mzizi... Hizo zinaitwa presha za kujitakia.[emoji12]yaani toaka 2011 mtu anakugegeda si mtoto angeshaanza shule?
kweli uzinzi haulipi ebu cheki faida yake
ungetulia zako miaka yote hyo ungekuwa mbali
mlikuwa mnapanga nini miaka yote hyo? yaani mimi sikai na mwanaume hata mwezi kama hasomeki bora nionekane sina maana kuliko kuwa daraja la mtu
Wanshangaza hakika... Sasa aendako atakutana na aliyemzaa...acha ubwege hao watu hata uwape kote kote hawatosheki. utaishia jela kwa ujinga. maisha yapo tu.
Kama ataendeleza msimamo (uaminifu) ataolewa maana tunapenda mwanamke anaejitambua"Atafute mwanamke mwingine wa kuchezea ila sio wewe", una maana gani kwa kauli yako hii ?? wakati nawe amekuchezea zaidi ya miaka mitano akikugegeda au labla ni story za kutunga.
I wonder unakaa na mtu bila ndoa miaka mitano yote iyooo wakati unajua fika kila mwaka unapopinduka mwanamke hushuka thamani na umri unaenda. miaka mitano mtu anakula tuu mzigo !!!!! Namsikitikia atakae kuja kukuoa.
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Sasa umkute huyu binti ameokoka yupo kwenye makanisa haya ya kinabii"Atafute mwanamke mwingine wa kuchezea ila sio wewe", una maana gani kwa kauli yako hii ?? wakati nawe amekuchezea zaidi ya miaka mitano akikugegeda au labla ni story za kutunga.
I wonder unakaa na mtu bila ndoa miaka mitano yote iyooo wakati unajua fika kila mwaka unapopinduka mwanamke hushuka thamani na umri unaenda. miaka mitano mtu anakula tuu mzigo !!!!! Namsikitikia atakae kuja kukuoa.