Asante Mkuu, nimeshapoa.Nimeipenda hiyo ya "wavulana walioishi miaka mingi"
Pole sana mpendwa.
JAMANI NDUGU ZANGU, KUNA WATU WANAJARIBU KUNIPA USHAURI.NAOMBA IELEWEKE KUWA LENGO LA HUU UZI SIYO KUOMBA USHAURI BALI NI KUTOA TAHADHARI NA KUSEMA SAMAHANI KWA NILIO WAKWAZA JANA JIONI NA LEO ASUBUHI....HUO MKASA NIMEELEZEA KITU KINACHONISIBU NA KUPELEKEA MAISHA YANGU KUWA NA DHORUBA....KWA SASA NIMESHAPOA, NIMETULIA NA NIMESHAFANYA MAAMUZI. SIJAWAHI KUTENGUA MSIMAMO WANGU, SITAKI KUANZA LEO, NA KAMWE SINTATENGUA!
Miaka yote hiyo halafu kachepuka duu, ila we strong woman aisee hongera kwa hilo mana wangekua wale Asha ngedere pangechimbika hapo.
Una umri ganiSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
View attachment 393600Wenzio tunafanyaga hivi
No time to waste...
Wala hatufanyi matukio,simple yani.
Mmmmhh wacha utani weweSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Asante mkuu, nimekuelewa.Kwanini hadi ufikirie kuua uharibu maisha yako bila sababu za msingi, kwani huyo ni nani? Mbona mmeachana na unaishi? Sio wanaume pekee, mapenzi ya nyakati hiki ni kizungumkuti. Huwezi kujizuia kupenda lakini jijengee kinga na ujasiri wa kutokuumizwa na mapenzi, yaani yachukulie ni kitu tu ambacho kinaweza kupita na maisha yakaendelea.
Joke? mark my word!Mmmmhh wacha utani wewe
Unazijua nyege unazisikiaSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Umri wa kutosha mkuu, ata nikiondoa ile miaka ya kupigia kura nabakiwa na balance.Una umri gani
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Kama ni kati ya 30 na 40 bado utahitaji mwanaume labda kama kufanya ya jinsia moja au kutumia toyUmri wa kutosha mkuu, ata nikiondoa ile miaka ya kupigia kura nabakiwa na balance.
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Mkuu mpe mda basi hata asahau kidogoPole
Pia tuna shukuru kwa kututaarifu kuwa kwa sasa uko singo
Tuta anza ku apply si mda kwenye vaccant position hiyo
Powa shosti nitakuja.unione nikumbe mbinu za kigaidi za kuwa single
la sivo utadanganyika tena