Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Unapojikwa na jiwe linaweza kusababisha kidonda na maumivu makali lakini utakachokihitaji sio kurudi nyumbani na kuvumilia maumivu bali kumuona daktari na kukupatia dawa na kukipooza kidonda. Mwenzio anakula bata wewe umeamua kuwa mpweke wakati yeye ana mwenza mwengine, Hivi hujihisi kama atakuona kama loser flani hivi. Ataona kwenye ulimwengu huu yeye tu ndie aliekutaka lakini hakuna mwanaume mwengine anaekutaka ndio maana upo mpweke. Usiweke doge la moyo kwa kukukwaza bali shukuru kwa kupata muangaza baada ya miaka 5 bila ya kukuweka kama mke wa ndoa.
 
Huyo bata mweusi natamani nimjue nikampe kichapo kwa kukuumiza moyo wako.
 
Mkuu nashukuru kwa yote,...usiwe na wasi wasi hata ukikutana na mimi sintajihusisha na mambo ya mapenzi wala ndoa...maisha yangu ya kimahusiano yashapita na wala siidai hii dunia chochote kwenye hiyo sekta,,,...kuna siasa, uchumi na mambo kibao kwenye maisha nitakayo jihusisha nayo, lakini KAMWE! siyo mapenzi.
am too young to meet you, any way usiusemee moyo waweza kutana na akina STUNTER au THT ukasahau kama ulishawahi kutendwa. kubali kosa forgive and forget wako halisi anakusubiri somewhere akija tuu na kutangaza ndoa unachotakiwa omba Mungu.dunia hii usipofanya starehe ya ndoa utafanya ipi tena ? au miaka mitano imekukinai?
 
Hivi ukikuta mwizi shambani kwako unamwachia shamba,anyway cha msingi jali afya yako dada asije kuletea HIV,homa ya INI na mengine
 
Ni kama ambavyo wanawake mnaumiza mioyo ya wanawake....nafikiri siyo sahihi kuweka jumla jumla
 
Pole ila nyie mkituacha mnakua hamuna HURUMA na sisi,Pole sana,
 
Niliachwa na mwanamke kinyama na hadi Leo sina HURUMA na mwanamke,
 
Me mwnyw nimeumizwa hivyo hivyo kama ww njoo pm tushauriane na kuyajenga tuish pamo1 tunaweza kufika mbali
 
Nalo neno angekuwa anakupenda angeenda gest japo ananyumba ili ata kma ameamua kukusaliti usione ama kuumizwa ila amefanya usaliti kwake tna milango wazi huyo hafai
 
Mi yalinitokeaga na ganja nikaivuta siku hiyo haaaa saa hivi mapenzi nayasikilizia kichwani kama stem za pombe, ukisikilizia moyoni utakonda!
 
Back
Top Bottom