Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,394
- 37,960
Karibu jamvini Lema.
Kwanza nikupongeze kwa kujiunga na na JF, lakini pia nikupe tahadhari kidogo ninajua unamzungumzia nani na ninajua pia wanajamvi wakongwe wanafahamu kinachoendela CDM. Mpaka sasa chama chako kiko kwenye right track hapana sababu ya kukurupuka katika kuchukua maamuzi lazima maamuzi magumu yaambatane na tahadhari kubwa unaweza kuchukua hatua stahiki leo lakini ukajikuta unakirudisha chama hatua kadhaa nyuma.
Pili wewe ni kiongozi mkubwa nina amini unaingia kwenye vikao vya maamuzi ningependa kukushauri mawazo na ushauri wako ni bora ukaupeleka katika vikao husika na si kwenye mitandao ya kijamii. Kufanya hivo ni kuwapatia maadui wa chama chako nafasi ya kuzidi kukihujumu zaidi.
Natumaini utaufuata ushauri wangu.